CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Mimi ni Simba damu ila katika hilo kundi timu ngumu kabisa ambayo naona itatusumbua ni hiyo As vita club hao jamaa ni balaa ila yote kwa yote naitakia timu yangu ya Simba sc au Mnyama wa mwituni maandalizi mema ya kuja kutafuna hizo nyama tatu zilizoingia msituni

SIMBA NGUVU MOJA
 
Mazungumzo yangu yalianzia hapa, kama vita kacheza fainali confederation, basi na simba pia kacheza fainali.
Usiwe unakurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini kwenye kile kibaraza chenu jangwani.
Kwa kikosi kipana hiking?
 
Back
Top Bottom