Mkuu hamna timu ya kuidharau hapoKundi rahisi sana hilo. Sioni wakitokq hapa bongo. Mbabe al ahly labda.
Ameisha? Msimu uliopita juzi Happ kacheza final ya champions league na esperansahapa mgumu ni huyu vita club, huyu al ahly ameshakwisha
kati ya Raja Casablanca au EsparanceKwani bingwa mtetezi ni timu gani
Kwa kiwango cha simba ni jepesi. Hata simba imewahi cheza fainali.Mkuu msimu ulioisha Al Ahly kacheza champions league final
Vita kacheza confederation Cup final
Alafu unasema kundi jepesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
mabuga mbona unateseka sana mdogoanguAmeisha? Msimu uliopita juzi Happ kacheza final ya champions league na esperansa
Acha masihara
Sent using Jamii Forums mobile app
Esperance.kati ya Raja Casablanca au Esparance
Naiona njia nyeupe ya kusonga mbele au kutoka kwa simba
kwenye kundi letu hakuna timu ngumu uwanjani kama vita club ya congo
huyu al ahly amebaki jina tu, simba akikaza nyumbani tutawafunga
huyu sauora ndio mwepesi zaidi kwa simba, so tunaweza kushinda nyumbani then ugenini tujitahidi draw
Mungu ibariki simba sc, Mungu ibariki Tanzania.
Vipi Yanga wamepangwa na timu gani hapo mbona siwaoniDuuu tundu litatanuliwa sana safari hii. Utabaki uwazi Mkubwa sana kiasi hata ndanda atazama mzima mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid mentality.Hapo ndo mwisho wetu, hatuna forward ya kupambana level iyo, Bocco anatukuzwa sana lakini ni garasa namba moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepangwa na mashujaa fcVipi Yanga wamepangwa na timu gani hapo mbona siwaoni
Makundi ya azam cup bado mkuu, tega sikio.Vipi Yanga wamepangwa na timu gani hapo mbona siwaoni