Sio kosa lake. Anaweweseka na hiyo draw.Mkuu msimu ulioisha Al Ahly kacheza champions league final
Vita kacheza confederation Cup final
Alafu unasema kundi jepesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi nkana.Tehteh eti waarabu ndio tuliowataka!! Mashujaa wenyewe wamewatoa kamasi
kati ya Raja Casablanca au Esparance
si mngefungua uzi wenu wa upangwaji wa makundi ya azamu kapuSio kosa lake. Anaweweseka na hiyo draw.
mashujaa kakalisha mtuVipi nkana.
Just relaxWanapozungumza mabingwa wa nchi. Wengine ni bora kufunga mabakuli yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.Mkuu hamna timu ya kuidharau hapo
Tulia dawa iwaingieMkuu msimu ulioisha Al Ahly kacheza champions league final
Vita kacheza confederation Cup final
Alafu unasema kundi jepesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuhakikishia hilo ndiokundi zuri sasa.Tehteh eti waarabu ndio tuliowataka!! Mashujaa wenyewe wamewatoa kamasi
as vita alifika final msimu ulioisha. sijui ilikuwa shirikisho ile?Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.
Fainali ipi hiyo labda, Mapinduzi Cup?Kwa kiwango cha simba ni jepesi. Hata simba imewahi cheza fainali.