CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.

FB_IMG_1743573151765.jpg
 
Mechi iliyoisha ni Moja tu hiyo ambaye ameshinda goli 4 but mamelod Kwa namna nilivyomuona pale south sijuiii sijuiiii😭
 
Hilal alijitahidi sana kufungwa goli moja pekee si mchezo. Msimu huu al ahly aangalie wazee wasipindue meza mechi ijayo
kwa alger tunasema amesha yaaga mashindano
 
Huwa nafurahi sana nikiona lile tangazo la Azam kuwa ligi yetu ni ya nne afrika nyuma ya Egypt Morocco na Algeria huku SA na Tunisia zikiingia semi final Kila mara
Yani wale IFHS huwa wakita reply na followers basi wanachokonoa wa tz kidogo basi mambo yanaenda
 
Back
Top Bottom