BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kwa africa bado waarabu wapo juu sana...mpira sikuhizi ni pesa...waarabu wana uwezo wa kumchukua na kumlipa mchezaji yoyote wanayemtaka wa tp mazembe or mamelodi but mamelodi or tp mazembe hawana uwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanayemtaka kwa waarabu..any way tp mazembe na mamelodi ni team nzuri na zina nafasi kubwa ya kuingia fainaliZinapigwa muda mmoja sio? Hao waarabu sioni namna ya kujiokoa..
Kwa hiyo watawachukua hao wachezaji ili leo wachezee timu zao na vipi kuhusu Mamelod vs Mwarabu wa Misri nini kilitokea?Kwa africa bado waarabu wapo juu sana...mpira sikuhizi ni pesa...waarabu wana uwezo wa kumchukua na kumlipa mchezaji yoyote wanayemtaka wa tp mazembe or mamelodi but mamelodi or tp mazembe hawana uwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanayemtaka kwa waarabu..any way tp mazembe na mamelodi ni team nzuri na zina nafasi kubwa ya kuingia fainali
Hata wakionga team nzima, ila nafasi kubwa iko kwa tp na mamelodi kuingia fainali japo mpira unadunda.Kwa africa bado waarabu wapo juu sana...mpira sikuhizi ni pesa...waarabu wana uwezo wa kumchukua na kumlipa mchezaji yoyote wanayemtaka wa tp mazembe or mamelodi but mamelodi or tp mazembe hawana uwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanayemtaka kwa waarabu..any way tp mazembe na mamelodi ni team nzuri na zina nafasi kubwa ya kuingia fainali
Hujanielewa mkuu soma nilichokiandika upya...nimetoa tu maoni...angalia mwishoni nilichokiandikaKwa hiyo watawachukua hao wachezaji ili leo wachezee timu zao na vipi kuhusu Mamelod vs Mwarabu wa Misri nini kilitokea?
Uko sahihi..it's all about fame...mwarabu na mkwanja wake alipigwa south Kama wamesimama...Kwa hiyo watawachukua hao wachezaji ili leo wachezee timu zao na vipi kuhusu Mamelod vs Mwarabu wa Misri nini kilitokea?
Mi sijasema watawahonga...nimesema kwa africa bado waarabu wapo juu kisoka but mwishoni nilichokiandika umekiona???Hata wakionga team nzima, ila nafasi kubwa iko kwa tp na mamelodi kuingia fainali japo mpira unadunda.
Kuna contradiction nyingi sana kwenye maelezo yakoHujanielewa mkuu soma nilichokiandika upya...nimetoa tu maoni...angalia mwishoni nilichokiandika
Naona bado Mzimu wa Mazembe unawatesa,leo mnawashangilia Waarabu?Hahaha leo mazembe lazima akae
Nilitamani sana mazembe wakutane na mamelod ili wapate challenge sasa hawa waarabu nao kama masai tu unaweza ukawadhamini wakakuachia shukaNaona bado Mzimu wa Mazembe unawatesa,leo mnawashangilia Waarabu?
Kwakuwa wewe ni mshabiki wa yanga ngoja nikupe mfano huu...kabda ya mechi ya yanga na mtigwa juzijuzi ningesema timu ya yanga ipo vizuri juu kisoka kuliko mtigwa but mtigwa wananafasi kubwa ya kushinda hii mechi kungekuwa na contradiction hapo...kwa africa waarabu wapo juu kisoka but hii haimaanishi kuwa tp mazembe na mamelodi zitatolewa zinauwezo na nafasi kubwa ya kuingia fainaliKuna contradiction nyingi sana kwenye maelezo yako
Hahaha leo mazembe lazima akae
Mkuu hujamuelewa,kifupi mfano wako wa uwezo wa waarabu kuchukua wachezaji wa mazembe na mamelodi ungeuleta siku nyingine au katika post nyingine,ulivyochanganya story za mlenda na wali umetushangaza kidogo tukidhani unataka uweke mlenda juu ya wali MTU ale.Sijui kama utanielewaKwakuwa wewe ni mshabiki wa yanga ngoja nikupe mfano huu...kabda ya mechi ya yanga na mtigwa juzijuzi ningesema timu ya yanga ipo vizuri juu kisoka kuliko mtigwa but mtigwa wananafasi kubwa ya kushinda hii mechi kungekuwa na contradiction hapo...kwa africa waarabu wapo juu kisoka but hii haimaanishi kuwa tp mazembe na mamelodi zitatolewa zinauwezo na nafasi kubwa ya kuingia fainali
Sasa wali na mlenda vyote c vyakula π πππ...any way nachomaanisha waarabu wapo juu kisokaMkuu hujamuelewa,kifupi mfano wako wa uwezo wa waarabu kuchukua wachezaji wa mazembe na mamelodi ungeuleta siku nyingine au katika post nyingine,ulivyochanganya story za mlenda na wali umetushangaza kidogo tukidhani unataka uweke mlenda juu ya wali MTU ale.Sijui kama utanielewa
Naona bado Mzimu wa Mazembe unawatesa,leo mnawashangilia Waarabu?
Mkuu hujamuelewa,kifupi mfano wako wa uwezo wa waarabu kuchukua wachezaji wa mazembe na mamelodi ungeuleta siku nyingine au katika post nyingine,ulivyochanganya story za mlenda na wali umetushangaza kidogo tukidhani unataka uweke mlenda juu ya wali MTU ale.Sijui kama utanielewa
Dstv wataonyesha kupitia chaneli 208 (S8) Tp Mazembe vs Esperance, chaneli 211 (S11) Mamelodi vs WydadCaf Champions league-Semi final, live....Marudiano/Sec leg
Mamelodi-Wyda Casablanca 16:00
Mazembe-Esperance de Tunis 16:00
Kila la heri Wydad..
Mwenye link atupie wandugu!