Caf Champions league-Semi final, LIVE...

Zinapigwa muda mmoja sio? Hao waarabu sioni namna ya kujiokoa..
Kwa africa bado waarabu wapo juu sana...mpira sikuhizi ni pesa...waarabu wana uwezo wa kumchukua na kumlipa mchezaji yoyote wanayemtaka wa tp mazembe or mamelodi but mamelodi or tp mazembe hawana uwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanayemtaka kwa waarabu..any way tp mazembe na mamelodi ni team nzuri na zina nafasi kubwa ya kuingia fainali
 
Kwa hiyo watawachukua hao wachezaji ili leo wachezee timu zao na vipi kuhusu Mamelod vs Mwarabu wa Misri nini kilitokea?
 
Kwa africa bado waarabu wapo juu sana...mpira sikuhizi ni pesa...waarabu wana uwezo wa kumchukua na kumlipa mchezaji yoyote wanayemtaka wa tp mazembe or mamelodi but mamelodi or tp mazembe hawana uwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanayemtaka kwa waarabu..any way tp mazembe na mamelodi ni team nzuri na zina nafasi kubwa ya kuingia fainali
Hata wakionga team nzima, ila nafasi kubwa iko kwa tp na mamelodi kuingia fainali japo mpira unadunda.
 
Kuna contradiction nyingi sana kwenye maelezo yako
Kwakuwa wewe ni mshabiki wa yanga ngoja nikupe mfano huu...kabda ya mechi ya yanga na mtigwa juzijuzi ningesema timu ya yanga ipo vizuri juu kisoka kuliko mtigwa but mtigwa wananafasi kubwa ya kushinda hii mechi kungekuwa na contradiction hapo...kwa africa waarabu wapo juu kisoka but hii haimaanishi kuwa tp mazembe na mamelodi zitatolewa zinauwezo na nafasi kubwa ya kuingia fainali
 
Mkuu hujamuelewa,kifupi mfano wako wa uwezo wa waarabu kuchukua wachezaji wa mazembe na mamelodi ungeuleta siku nyingine au katika post nyingine,ulivyochanganya story za mlenda na wali umetushangaza kidogo tukidhani unataka uweke mlenda juu ya wali MTU ale.Sijui kama utanielewa
 
Sasa wali na mlenda vyote c vyakula 😂 😂😂😂...any way nachomaanisha waarabu wapo juu kisoka
 
Mkuu hujamuelewa,kifupi mfano wako wa uwezo wa waarabu kuchukua wachezaji wa mazembe na mamelodi ungeuleta siku nyingine au katika post nyingine,ulivyochanganya story za mlenda na wali umetushangaza kidogo tukidhani unataka uweke mlenda juu ya wali MTU ale.Sijui kama utanielewa

😂😂🤣
 
Back
Top Bottom