CAF Confederation Cup Team Of the Season

Stay away from negativity unaweza dhani ni utani kumbe ndio roho mbaya inakuuingia hivyo
Kushangaa ndiyo roho mbaya? Mimi nilikuwa sijui hadi nimeambiwa leo, mambo ya ajabu sana haya ila yanatukumbusha uhalisia wa mambo ulivyo.
 
Kwamba timu ikifika fainali, inatakiwa kuuza wachezaji?

Akili za wapi hizi ndugu mbumbumbu?
Mlikuwa mnamsisitizia Feisal arudi kucheza mkadai ataonekana zaidi. Niliwahi kusema ngoja tuone hao waliobaki kama watauzika nikaonekana mbaya. Matokeo yake Feisal hakurudi ila ndiyo ameuzika, hawa waliofika fainali ni kama tutaendelea kuwa nao....sijui shida nini.

Napendaga tu kuwakumbusha kauli zenu maana nyingi huwa mnazisema kwa mihemko.
 
Atajikausha kama hajaonaπŸ˜…
Mmeisoma hiyo makala lakini?

Yanga president Hersi Ally Said says they are yet to be approached by a Premier Soccer League club but will listen to offers.

β€œWe’ve not received any official communication from any PSL club regarding Fiston Mayele,” Said told FARPost.

β€œI see the speculation, but I’ve never spoken to anyone from the club, nor has my management spoken to anyone at Chiefs,” Mayele told FARPost.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

Attachments

  • E5549F72-D6AB-4C91-B765-552AD9FC0D06.jpeg
    191 KB · Views: 1
Ku add value sio lazima uuzwe mfano Bacca wa sasa ni tofauti na yule wa before CAF same to Job, Mwamnyeto,Diara list goes on, leo hii wana uwezo wa kuivimbia timu yao kuhusu masirahi tumia akili mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…