Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah App yangu ya JF haionyeshi picha kabisa sikuhizii why nakosa kuona vitu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Stay away from negativity unaweza dhani ni utani kumbe ndio roho mbaya inakuuingia hivyoTimu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Kwamba timu ikifika fainali, inatakiwa kuuza wachezaji?Timu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Kushangaa ndiyo roho mbaya? Mimi nilikuwa sijui hadi nimeambiwa leo, mambo ya ajabu sana haya ila yanatukumbusha uhalisia wa mambo ulivyo.Stay away from negativity unaweza dhani ni utani kumbe ndio roho mbaya inakuuingia hivyo
Mlikuwa mnamsisitizia Feisal arudi kucheza mkadai ataonekana zaidi. Niliwahi kusema ngoja tuone hao waliobaki kama watauzika nikaonekana mbaya. Matokeo yake Feisal hakurudi ila ndiyo ameuzika, hawa waliofika fainali ni kama tutaendelea kuwa nao....sijui shida nini.Kwamba timu ikifika fainali, inatakiwa kuuza wachezaji?
Akili za wapi hizi ndugu mbumbumbu?
Hakika Yanga wameliheshimisha Taifa. Wamekosa kombe, lakini watabakia daima kuwa mabingwa ndani ya mioyo yetu.
Wamekuambia wana shida ya kuuza mchezaji yeyote yule? Una shida mahali wewe. Siyo bure.Timu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Timu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Mpira biashara bloo, au na wewe Feisal haumjui? Kesho msije mkasema na Mayele hamumjui.Wamekuambia wana shida ya kuuza mchezaji yeyote yule? Una shida mahali wewe. Siyo bure.
Atajikausha kama hajaona😅![]()
Mamelodi Sundowns to hijack reported Kaizer Chiefs transfer target Mayele | Goal.com South Africa
Mamelodi Sundowns have reportedly joined the race for Young African forward Fiston Mayele who has been linked with a move to Kaizer Chiefs.www.goal.com
Yanga haiwezi kumuachia Mayele hata akitaka kuondoka. Si muda mrefu tutarudi hapa hapa kwa habari hizi hadi muitwe tena kwenye ubwabwa. Mtatoa bei ngumu isiyo na uhalisia.![]()
Mamelodi Sundowns to hijack reported Kaizer Chiefs transfer target Mayele | Goal.com South Africa
Mamelodi Sundowns have reportedly joined the race for Young African forward Fiston Mayele who has been linked with a move to Kaizer Chiefs.www.goal.com
Mmeisoma hiyo makala lakini?Atajikausha kama hajaona😅
Ku add value sio lazima uuzwe mfano Bacca wa sasa ni tofauti na yule wa before CAF same to Job, Mwamnyeto,Diara list goes on, leo hii wana uwezo wa kuivimbia timu yao kuhusu masirahi tumia akili mdogo wanguMlikuwa mnamsisitizia Feisal arudi kucheza mkadai ataonekana zaidi. Niliwahi kusema ngoja tuone hao waliobaki kama watauzika nikaonekana mbaya. Matokeo yake Feisal hakurudi ila ndiyo ameuzika, hawa waliofika fainali ni kama tutaendelea kuwa nao....sijui shida nini.
Napendaga tu kuwakumbusha kauli zenu maana nyingi huwa mnazisema kwa mihemko.
kule umevuna nini mwenzetu.Hamna kitu hapo
Kama Police TanzaniaUnacheza na washuka daraja unashindwaje kung'aa?