vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Yaani wanaua ushindani wa ligi. Yaani Yanga au Simba hata wakifanya vibaya kwenye ligi zao lakini wana uhakika wa kucheza michuano ya CAF kisa ranking ina wabeba. Hili halijaa kaa sawa ni upuuziKwa hiyo mshimdi wa tatu ndiyo ataitwa Bingwa na kwenda kushiriki Ligi ya Mabingwa?
Sasa hapo Bingwa atakuwa nani?