Yaani wanaua ushindani wa ligi. Yaani Yanga au Simba hata wakifanya vibaya kwenye ligi zao lakini wana uhakika wa kucheza michuano ya CAF kisa ranking ina wabeba. Hili halijaa kaa sawa ni upuuziKwa hiyo mshimdi wa tatu ndiyo ataitwa Bingwa na kwenda kushiriki Ligi ya Mabingwa?
Sasa hapo Bingwa atakuwa nani?
Mbona jamaa katoa maelezo na ufafanuzi upo clear sana mkuuHaieleweki.
Anyway siku hizi interest ya African football imenitoka.
Nimesoma ila kama ndio hivi mashindano ya CAF yanakosa mantiki.Mbona jamaa katoa maelezo na ufafanuzi upo clear sana mkuu
Hao watacheza Champions League, Simba na Yanga ndio watacheza AFLHapa umeeleweka, so mshindi wa tatu na FA sasa hivi hawana Chao tena?
Kwenye kubadili jina upo sahihi kabisa haiwezekani michuano kuitwa klabu bingwa ikiwa mashindano tayari yameshushwa hadhi na ikitokea wakibadili jina maanake ni sawasawa na CAFCC iliyobadilishwa jina.Kwanza wangebadili jina hilo kutoka kombe la mabingwa hadi jingine,maana haitaleta maana timu ya 3 kucheza ligi ya mabingwa.
Pili,waseme hizo ranks zinakuwa validated and updated vipi ili kuendelea kushiriki ligi hiyo,maana ni jambo la ajabu sana yanga hii kucheza na horoya ligi moja kwa vigezo vya ajabu ajabu na bado tutegemee radha ya ushindani wa mpira wa miguu.
Sema hii Afrika ni sehemu ya ajabu sana kuishi binadamu mwenye akili timamu
Sijui umejitoa akili au uwezo wako mdogo wa kufikiria.ndo hazitambuliki tena
Yaan bingwa nchi acheze shindano Dogo!! Hawa caf watakuwa wanavuta bangiKucheza AFL kigezo ni CAF 5 years ranking. Nimefafanua vizuri tu huko juu.
Kuna zone 3 na kila zone inatakiwa itoe wawakilishi 8 na hao wawakilishi wanapatikana kwa kutumia CAF 5 years ranking.
Huwezi kuchagua kama caf ranking una point nyingi utafuzu AFL kama una point chache basi msimamo wa ligi kuu utakufanya ushiriki CAFCl.
AFL ndio itakuwa shindano kubwa halafu CAFCL itakuwa ni dogo.
Inaonekana wenye points nyingi katika orodha ya CAF ndiyo watacheza hiyo Aftical League, na Champions ni kwa ajili ya bingea na mshindi wa pili. Kama ni hivi wanaenda kuua msisimko wa Soka kabisaHao watacheza Champions League, Simba na Yanga ndio watacheza AFL
Watakuwa kama Simba mashindano ya kugombea kombe la washindi lilifutwa baada ya kufika fainali 1993 na kutolewa na Stella Abdijan ya Ivory CoastShindano la akina Yanga hilo halipo tena. Sijui watafanyaje sasa.
Sijui umejitoa akili au uwezo wako mdogo wa kufikiria.
Makombe na medali ni sehemu ya kumbukumbu kwa wachezaji na klabu. Na pia kwenye mpira historia hazifutiki. Haya mashindano ya CAF mpaka yamefikia kuitwa CAF champions league na CAF Confederation cup yamepitia hatua nyingi. Zamani kulikuwa na The African cup winners' cup ambayo kwasasa ikiitwa CAF Confederation cup na African Cup of Champions Clubs ambayo kwasasa ikiitwa CAF champions league, lakini kumbukumbu za hayo mashindano hayafutiki. Ukiingia profile ya Al Ahly kwenye angle ya kimataifa au timu yeyote kubwa utaona wanakuwekea achievement zake zote hadi kwa mashindano yaliyofutwa au kubadilishwa.
Hivyo pamoja na mashindano kufutwa haitobadilisha profile ya Yanga kuwa ni runner's up wa CAFCC msimu wa 2022/2023