Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!
Dakika ya 20 na bado ni bila bila!!
Mkuu unaangalia kupitia king'amuzi ganiTatizo la timu za Tanzania ni kufika mwisho wa mchezo wakiwa na uwezo ule ule walioanza nao!!
link muhimujamaniTunaomba Link km unachek game
DSTV na AZAM hawaoneshi. Pitia hiyo "Link" iliyowekwa.Mkuu unaangalia kupitia king'amuzi gani
mbona hamsemi mnaangalizia chanel gani??!
!
Bado Bila Bila Aisee Dakika Ya 23