Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Huyu alikua analipwa fadhira kwa kuunga mkono juhudi za yanga waziwazi
Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!