ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #121
Tuna bahati tuSwali la msingi hivi sisi kufuzu siku hizi ni ubora au kubadilishwa kwa mfumo kunafanya kuwa rahisi kufuzu AFCON? maana zamani ilikuwa team 12 na ilikuwa kazi kupata nafasi halafu wakaja kuongeza 16 na haikuwa rahisi ila baada ya kuongeza team 24 naona kama ukishindwa basi wewe mbovu tu wala haihitaji team kuwa ya ushindani sana, kwa maana team ya kawaida tu inaweza kufuzu siku hizi hata Comoro wapo sana tu huko.