CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

Tuna bahati tu
 
Tayari Tanzania tumeshafunguliwa mashitaka na Guinea na wanataka tuenguliwe kwenye AFCON kisa Ame.

Kwenye match list alisajiliwa atavaa jezi nambari 24 badala yake uwanjani alivaa jezi 26.

Mwenye ujuzi na hili atujuze zaidi tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…