CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

Timu zilizotajwa

🇲🇦Wydad, Raja, Berkane
🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids
🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs
🇨🇩TP Mazembe, Vita Club
🇸🇩Al Hilal, Merrikh
🇹🇿Simba
🇬🇳 Horoya

Hawa jamaa CAF wanapenda kuiga kila kitu toka UEFA, hii Super Ligue sio ile iliyokufa kifo cha mende kule Ulaya hivi karibuni hadi timu nyingine kama Man Utd Woodward akalazimika kujiuzulu?
 
Hawa jamaa CAF wanapenda kuiga kila kitu toka UEFA, hii Super Ligue sio ile iliyokufa kifo cha mende kule Ulaya hivi karibuni hadi timu nyingine kama Man Utd Woodward akalazimika kujiuzulu?
Ndo copy yake hii,ila kwa Africa itabarikiwa ni itafanyika.
 
Yanga ya mzee mpili hawezi hayo mambo, wao wamekeza kwenye ushirikina tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…