CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

Kwa soka la afrika inafaa sana tu
Sioni itafaa vipi, timu chache sana tofauti na huko ulaya kwa wenye timu nyingi, ona hapo juu nchi moja inatoa timu tatu, wakati nyingine zinatoa timu moja, nchi nyingine hazitoi hata timu moja.
 
Mshindi anachukua kitita cha Tshs ngapi?

Vipi kuhusu washiriki wengine?

Je taratibu zitakua kama ile iliyoshindikana ulaya?
 
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

Timu zilizotajwa

[emoji1173]Wydad, Raja, Berkane
[emoji1093]Al Ahly, Zamalek, Pyramids
[emoji1221]Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs
[emoji1078]TP Mazembe, Vita Club
[emoji1232]Al Hilal, Merrikh
[emoji1241]Simba
[emoji1119] Horoya

Huko CAF wamejaa Simba watupu ina maana sisi Utopolo hawatuoni hata baada ya kuifunga hiyo Simba yao? CAF wanatuonea sana sisi watopolo
 
Hii ni kwa team zilizoingiz shirikisho na club bingwa kaka sisi yanga mwaka jana hatujaingia hilo lisikuumize kichwa hao mikia wamekaa kwa ajili kuingia vlub bingwa walivuka hatua ya makundi
 
Haya mashindano hayatakuwa tofauti na Bonanza
 
Back
Top Bottom