Ako kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
Wewe kiazi Acha mipasho na ongea facts, uliwahi kuskia Al ahyl analalamika katika hizi nyakati zote mbili alizokuja? Uliwahi kuskia mazembe amelalamika wakati amekuja kucheza na Simba robo fainali?
Turudi Kwa Al ahyl umeskia wakubwa wangapi wakienda kwenye uwanja wake wanalalamika? Kawasklize mamelod,Raja,Tunis, wydad hao wote wakienda Kwa Al ahyl lazima walalamike Kwakuwa wapo level moja
Al ahyl hawezi kulalamika akija Kwa mkapa kwakuwa anajua kabisa kaizidi Simba mbali sana na dunia itamshangaa kujilalamisha, ila unalalmikiwa na team ambayo mnaweza kutunishiana misuri, team zote ambazo zipo level ya Simba saiz wakija Kwa Mkapa lazima watoe malalamiko maana hiyo ni mind games za kiafrica
Yanga mlilalamikiwa na Rivers utd na nyie mkaenda kulalamika kule kwao Kwa sababu nyie ndio level yenu, umeskia lini simba inaenda nje inaanza lawama? Maana ishatoka huko
Leo hii mgeni anakuja Tanzania ila anaingilia mlango ambao sio rasmi unajiuliza Nani kawafungulia huo mlango ambao sio rasmi? Team inakuja haitaki kuingia vyumbani inakaa kwenye korido nani anawaelekeza haya? Team inakuja inakataa bus waliloandaliwa,wanakataa hotel Ila mwisho wa siku wanafungwa au inabidi wakatae kucheza kwenye uwanja ulioandaliwa?
Simba nyumbani atafungwa tu kama kawaida maana mpira ndio ulivo ila kitu mnachotakiwa kujua ni kwamba Simba wa leo sio yule wa kupigwa nyumbani hovyo hovyo, kashakuja namna ya kucheza game za nyumbani, game za kwenye ligi ni tofauti na Caf ndomana unakuta mamelod anafungwa katika uwanja wake wa nyumbani kwenye ligi na baroka Fc ila anakuja Al ahyl anakufa 5
Nyie mlivo wajinga mnaamini kwakuwa Mbeya city anaifunga Simba kwenye ligi basi na club bingwa inabidi afungwe na kila team, Kwa Akili hizo mtachelewa sana kuingia mjini, endelezeni mihemko Tu ila Simba sio Ile tena
Simba ya Leo ndo team inayoongoza kufatiliwa kwenye mitandao ya kijamii ndomana haikauki kwenye page official za Caf,Simba ndio inaongoza Kwa mechi zake kufatiliwa pindi inapokuwa Kwa mkapa,Simba ndio team inayopata view's wengi katika account za Caf YouTube, haya Mambo hayaji Kwa bahati mbaya mkuu, hizi ni dalili zote kuwa Simba it's among the best Kwa sasa Africa pamoja na budget Yao ndogo compared na giants
Maisha yako hayawezi kupata unafuu Kwa kumchukia tajiri hizo ni roho za kimaskini, tumieni njia mnazozijua nyie ili tuiweke ramani ya Tanzania katika mashindano makubwa, inapendeza kuona Yanga yupo robo fainali club bingwa na Simba yupo robo fainali shirikisho, hao walalamikaji acheni waendelee kulalamika ndio vizuri na ishara ya kuwa mkubwa, kwani msimu huu unaskia Yanga wanalia lia hovyo kama misimu mi4 nyuma? Tumieni Akili viazi nyie