CAF kuanzisha uchunguzi kuhusu VAR kuzimwa mechi ya Simba vs Orlando Pirates

CAF kuanzisha uchunguzi kuhusu VAR kuzimwa mechi ya Simba vs Orlando Pirates

Nakuhakikishia atakwambia maandishi hayaonekani.
Si Bora ata aseme maandishi hayaonekani mkuu tutasema labda jamaa ana matatizo ya macho

Maandishi ameyaona ila kumbe kelele zote hizi Halijui lugha bana...! limesoma ila limetoka kapa, alafu saizi linakaza shingo kumu attack CEO wa Simba hafai
 
Ako kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
Sasa unataka wawalalamikie yanga wakati hawatoi changamoto wanapigwa nje ndani Sasa utalalamika Nini ukiona unafanya Jambo kila Mtu anasema Safi hata mpinzani ujue unakosea pakubwa
 
huyo Host Association ni team mwenyeji kama vile Simba au Yanga pale ambapo anakuwa nyumbani majukumu yake Kwa mgeni wake
HOST ASSOCIATION sio timu wewe dunderhead.

Ni chama cha mpira cha timu ya nyumbani.

Kwa hiyo Barbara Gonzalez na yeye kaelewa kama ulivyoelewa wewe ?

Yani lugha rahisi kama hiyo wewe na Gonzalez mmeshindwa kuielewa ?

Mo Dewji huko aliko anajuta kuabishwa na huyu nepotism hire.
 
We kiazi nimeamua kukuletea ushahidi wa kanuni na Sheria za Caf kuhusu roles za host club katika mashindano ya kimataifa ili mpunguze kulopoka hovyo juu ya msivovijua

Ila ukatafute sasa mtu wa kukutafsria maana Kwa ujinga wako lazima Tu lugha ya kimalkia itakuwa haipandi, kumbuka na wewe kuleta kanuni na Sheria kutoka Caf zinazosema shirikisho la mpira ndio litawajibika na clubView attachment 2193758
Mbona naona National Association sio hosting club au macho yangu mabovu?
 
Wewe dada Gonzalez, mambo ya kuikomboa Afrika Kusini kwa makaburu hayahusiki hapa...

Tanzania ipeleke invoice Afrika Kusini ya gharama ya kuwakomboa kwenye ubaguzi watulipe tumalizane na hilo deni basi!

Gonzalez hana common sense, eti analalamika Orlando Pirates kukataa huduma za magari ya Simba na hoteli za Simba...

TFF, Jeshi la Polisi, Wizara ya Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje, ndio wenyeji wa mgeni yeyote wa ziara rasmi ya mpira hapa nchini, na ndio walitakiwa kutoa magari na hoteli kwa Orlando Pirates, sio Simba.

Na ndio hao wataulizwa na dunia likitokea lolote hotelini na kwenye mabasi, sio Simba.

Gonzalez is a lightweight, lacks common sense.
Mpira hauko hivyo , timu mwenyeji ndie mwenye jukumu la kumpokea mgeni

Babra hajalalamika wao kukata kupokelewa, anachowashangaa n wao kulaum mapokez mabovu wakat walikataa pokelewa

Anyway.. hakuna utopolo mwenye akili
 
Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal 1 kwa bila.
Usijifariji ndugu.
 
Ako kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
Wakati tunashinda Nigeria, Congo, na kusini hapo ulikua umefariki
 
 
WEWE ndio umebisha!

Mimi nimesema Ms Gonzalez ni kilaza mkubwa kwa sababu anadhani SIMBA ndio ilikuwa na wajibu wa kutoa usafiri na malazi ya mgeni, Orlando Pirates.

Mimi nasema ni TFF ndio wanawajibu kutoa malazi, makazi, usafiri na usalama wa mgeni, Orlando Pirates.

Unaebisha ni WEWE! Na ukasema mimi ni mjinga. Na nina wivu na mwanamke Gonzalez.

Sasa lete proof ya kunikosoa. ukishindwa kuleta proof ni kwamba wewe ndio mjinga. But nobody cares about ujinga wa ANIGRAIN.

Ni huyu Mama Gonzalez ndio tatiz.! A lightweight. Hatoshi kuwa CEO wa Simba.
Wewe ndio kilaza namba moja , Babra ana miaka minne anapokea club zote zinazokuja kucheza na Simba hapa
 
Mbona naona National Association sio hosting club au macho yangu mabovu?
Mkuu unaanza Kwa kupitia basi majibu ya maswali waliyouliza wenzio, kila mtu akija aulize kitu kile kile inakuwa usumbufu

Kwa ufupi kama utakuwa umeona neno National association bila Shaka umeliona pia neno Host association

Kuna utofauti wa maana katika hayo maneno, National association ni football federation ya nchi husika na Host association ni mwenyeji wa mchezo katika Nchi husika

Hapo yameongelewa majukumu ya national association na yakaongelewa majukumu ya host association, napata tabu kuelewa kama kweli mnasoma na kuelewa au mnajindaa kubisha Tu bila kusoma maana haiingii akilini mtu asome alafu aishie kuona national association peke yake, au hamuelewi lugha?

anyway kwa maelezo zaidi nenda page ya Caf download document ya Competitions Regulations ina maelekezo kibao kuhusu haya Mambo na mengine pia, ili mjifunze vitu vingi na vitawasaidia siku ingine katika kujenga hoja
 
Jamaa mwongo au hajui kusoma

document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini. Orlando Pirates wana haki tena wana wajibu wa kukataa questionable gestures za Simba.

Inakuaje Barbara Gonzalez, CEO wa Simba, hajui kitu kama hicho ???

Mohammed Dewji umeajiri kimeo.

Barbara Gonzalez is a nepotism hire, or, at worst, a job harassment hire.
Sasa hosting association s ndio SIMBA? Au umedhan ni National association??
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dahhh we jamaa kiazi sana, nimekuuliza tofauti ya National association na Host association, hebu tuanzie hapo Kwanza

Association ni SHIRIKISHO

Timu sio shirikisho, timu ni CLUB.

Una ubongo ssaizi ya njegere, pea brain. Tutegemee nini ?
 
Association ni SHIRIKISHO

Timu sio shirikisho, timu ni CLUB.

Una ubongo ssaizi ya njegere, pea brain. Tutegemee nini ?
[emoji3][emoji3] ficha ujinga wako basi, hivi we jamaa Una elimu gani? tukiachana na haya Mambo ya mpira maana huku huna unalojua, ningependa Tu kujua elimu yako ila sio Kwa ubaya, kama association ni shirikisho vipi maana ya Federation?

Wakati nasubiri kujua elimu ya kiazi kama wewe huku naendelea kukupa madini, wanachama wote wa Caf wanaitwa associate, inaweza ikawa club au football federation, tofauti Yao itakuja kwenye Jina la Kwanza tu kama hapo National na Host

Kwahiyo pale ulitaka waandike club? Unajua ata maana ya club we kiazi, au we unadhani kila club ni football club? Laiti kama ningekuwa nakujua live ningekupiga makofi to be honest maana huu ujinga wako umevuka mipaka, haya Mambo alitakiwa awe anaeleweshwa mtoto wa kike ambae hajui chochote kuhusu mpira na sio wewe

Na kumbuka nimekuuliza tofauti ya National association na host association, ila unaruka ruka Tu, hebu kabla hujajibu ujinga wako kama kawaida yako Naomba utupe tofauti ya hizo terminology mbili
 
Kafungwa Orlando machungu na chuki yapo jangwani hvi kuna kesi iliyoanzishwa na utopolo wakashinda naona wamepeleka malalamiko CAF halafu wanaisingizia Orlando.
Hao tutawawekea Bernard Morisson.
 
yule kibaka mzoefu anayejulikana kama makolo anaenda kuchomwa moto rasmi siku ya jumapili kule bondeni kwa mzee Madiba, wananchi wote mnakaribishwa sana kushuhudia tukio hili, teheee teheee
 
Back
Top Bottom