CAF kuanzisha uchunguzi kuhusu VAR kuzimwa mechi ya Simba vs Orlando Pirates

Kwa nini nifiche ujinga wangu?

Hiyo hoja yako ya kusema nifiche ujinga ni ya kijinga kwa sababu nitaendelea kuwa the dunderhead that you are!

Nionyeshe sheria na kanuni za CAF zinazosema timu mwenyeji, SIMBA, ina wajibika kwa malazi na usafiri wa timu ya ugenini, ORLANDO PIRATES
We kiazi nimeamua kukuletea ushahidi wa kanuni na Sheria za Caf kuhusu roles za host club katika mashindano ya kimataifa ili mpunguze kulopoka hovyo juu ya msivovijua

Ila ukatafute sasa mtu wa kukutafsria maana Kwa ujinga wako lazima Tu lugha ya kimalkia itakuwa haipandi, kumbuka na wewe kuleta kanuni na Sheria kutoka Caf zinazosema shirikisho la mpira ndio litawajibika na club
Screenshot_2022-04-20-10-06-23-827_com.google.android.apps.docs.jpg
 
Muongo mkubwa!

Umeweka document ambalo halifunguki ili uzuge...

Weka quotation hapa tuzione....
 
Kwani report ya msimamizi wa mchezo inasemaje?
wasimamizi wa VAR wamesemaje?
Marefarii wamesemaje?
Kuna vitu mnajisumbua BURE.
Hyo ni CAF haina janja janja.
Yaani uchunguzi ufanywe na CAF, lakini lawama uzipeleke kwa Yanga..!!
 
WEWE ndio umebisha!

Mimi nimesema Ms Gonzalez ni kilaza mkubwa kwa sababu anadhani SIMBA ndio ilikuwa na wajibu wa kutoa usafiri na malazi ya mgeni, Orlando Pirates.

Mimi nasema ni TFF ndio wanawajibu kutoa malazi, makazi, usafiri na usalama wa mgeni, Orlando Pirates.

Unaebisha ni WEWE! Na ukasema mimi ni mjinga. Na nina wivu na mwanamke Gonzalez.

Sasa lete proof ya kunikosoa. ukishindwa kuleta proof ni kwamba wewe ndio mjinga. But nobody cares about ujinga wa ANIGRAIN.

Ni huyu Mama Gonzalez ndio tatiz.! A lightweight. Hatoshi kuwa CEO wa Simba.
Usijali Mkuu me siwezi kukimbia, waga nina uhakika na ninachokiongea kwahiyo mwisho wa siku kwenye hii argument siwezi kuwa Mjinga bali wewe ndio utakuwa Mjinga

Nishakuletea proof juu ya maneno yangu, kilichobaki ni wewe kujitetea Kwa proof pia ili kuonesha kuwa wewe sio Mjinga pia, kasome attachment niliyokuletea kisha nawewe ulete attachment inayosema mamlaka hayo anayo TFF kisha tufunge mjadala, easy tu mkuu
 
Muongo mkubwa!

Umeweka document ambalo halifunguki ili uzuge...

Weka quotation hapa tuzione....
Oya unatumia simu gani Hadi useme attachment yangu haifunguki? Mbona inafunguka vizuri Tu, kama simu yako haina uwezo wa kufungua hiyo attachment tafuta simu ya mtu mwingine ili hili zoezi leo liishe, na wakati unaendelea kutafuta device ya kufungulia hii attachment ukute nawewe unaanda yako inayosema shirikisho ndio lenye hayo mamlaka
 
Muongo mkubwa!

Umeweka document ambalo halifunguki ili uzuge...

Weka quotation hapa tuzione....
Usijali Mkuu me naona kama unasumbua Tu mahakama maana huna ujualo na wala huna uhakika na ulichokisema wewe Kwa sababu hakipo, nimekuletea hapo usitafute kisingizio tena, soma kisha na wewe kalete proof yako, namna ya kudeal na watu wa mihemko ni rahisi sana

IX. REQUIREMENTS AND ORGANIZATIONAL ASPECTS

1. A national association having engaged a club in this competition takes the engagement to:

1.1 Ensure that all the members of CAF and the members of National Associations

shall obtain entry visas and certificates of registration necessary for their stay.

1.2 Ensure that the Statutes, Rules and Disciplinary Code of CAF as well as CAF

Regulations on the Club Licensing system procedure are observed.

1.3 Ensure that the engagements formally taken by the national association are

considered as accepted by its Government.

2 The Host Association is entitled to play its home match in the capital of the country or in any other city. In this case, the transport of the visiting team from the capital to the city. designated for the playing of the match and back shall be borne by the host association. All the matches must be played on a stadium homologated or authorized by CAF as per the stadium requirements of the competition. Failure to abide to this provision, the case will be examined by CAF and sanctions may be imposed.

CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBAL

CAF

3. If the distance between the capital city and the venue of the match is superior to 200 kms, the host association shall provide the visitors with an airplane transport to the venue of the match and back. If this is not possible, the match shall be played in the capital city except by agreement between the two teams.

4. By agreement between the two concerned associations, the two matches can be played in the same country.

5. If there is an international airport in the city or nearby where the game is being played (at less than 200km distance); and if the visiting team would land directly at the airport; the host association must facilitate her entry formalities.

6. The matches shall be played at daylight or under floodlight.

7. The matches cannot start before 14 hours and not after 22 hours unless by exceptional

authorization of the Interclubs Committee,

8. The matches shall be played in accordance with the Laws of the Game.

9. Venue, Day and Kick-off:

9.1 The place, date (Friday, Saturday or Sunday) and the kick-off time of the preliminary round matches are set by the host federation who shall inform the General Secretariat of CAF, the opposing team, the referees and the Commissioner at least thirty (30) days before the match. After this deadline, neither the kick-off time neither the day of the match nor the match venue cant be changed except if there is an agreement communicated to CAF between the two teams or in case CAF decided differently on the matter.

If this provision is not respected, the Committee will impose the day and kick-off time of the concerned match. Failure to comply with this measure will result in a fine of two thousand (2000) U.S. dollars.

9.2 The place, date (Friday, Saturday or Sunday) and the time of kick-off time of the Second Preliminary are set by the host federation who shall inform the General Secretariat of CAF, the opposing team, the referees and the Commissioner at least fourteen (14) days before the match. After this deadline, neither the kick off time, neither the day of the match nor the match venue can be changed except if there is an agreement communicated to CAF between the two teams.

CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL

CAF

If this provision is not respected, the Committee will impose the day and the kick off time of the concerned match. Failure to comply with this measure will result. in a fine of four thousand (4000) U.S. dollars.
 
Sasa wapi wameandika Club ndio itapokea Wageni badala ya football association?
 
Kwamba umesoma na kuelewa au unajiandaa kubisha Tu kama kawaida yenu? Achana na namba 1 hayo ni majukumu ya TFF pamoja na wizara ya uhamiaji kuhusu kukagua visa na kuhakikisha Sheria za kuingia nchini Kwa wachezaji wa mpira kama zinazosema katika nchi husika zimefatwa

Kukagua mavazi yatakayotumika,kutoa card za kuonesha hawa ni associate wa Caf, Yani vile vinguo wanavyovaa wakiwa wanakula jalamba,card wanazovaa wakiwa wanakagua uwanja and so on

na kingine ni kama vile Morrison harusiwi kuingia south Africa kwahiyo football federation ya South inakuwa na hizo taarifa pamoja na jeshi la uhamiaji/mamlaka husika or kuhusu case za Corona and so on

Sasa Njoo kwenye Namba 2 kuendelea hapo ndio ilipo hoja yetu na hayo ndio majukumu ya Host association, huyo Host Association ni team mwenyeji kama vile Simba au Yanga pale ambapo anakuwa nyumbani majukumu yake Kwa mgeni wake ni yapi

Una lingine?
 
Wewe dada Gonzalez, mambo ya kuikomboa Afrika Kusini kwa makaburu hayahusiki hapa...

Tanzania ipeleke invoice Afrika Kusini ya gharama ya kuwakomboa kwenye ubaguzi watulipe tumalizane na hilo deni basi!

Gonzalez hana common sense, eti analalamika Orlando Pirates kukataa huduma za magari ya Simba na hoteli za Simba...

TFF, Jeshi la Polisi, Wizara ya Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje, ndio wenyeji wa mgeni yeyote wa ziara rasmi ya mpira hapa nchini, na ndio walitakiwa kutoa magari na hoteli kwa Orlando Pirates, sio Simba.

Na ndio hao wataulizwa na dunia likitokea lolote hotelini na kwenye mabasi, sio Simba.

Gonzalez is a lightweight, lacks common sense.
Wewe ni kichaa?
 
Usijali Mkuu me naona kama unasumbua Tu mahakama maana huna ujualo na wala huna uhakika na ulichokisema wewe Kwa sababu hakipo, nimekuletea hapo usitafute kisingizio tena, soma kisha na wewe kalete proof yako, namna ya kudeal na watu wa mihemko ni rahisi sana

IX. REQUIREMENTS AND ORGANIZATIONAL ASPECTS

1. A national association having engaged a club in this competition takes the engagement to:

1.1 Ensure that all the members of CAF and the members of National Associations

shall obtain entry visas and certificates of registration necessary for their stay.

1.2 Ensure that the Statutes, Rules and Disciplinary Code of CAF as well as CAF

Regulations on the Club Licensing system procedure are observed.

1.3 Ensure that the engagements formally taken by the national association are

considered as accepted by its Government.

2 The Host Association is entitled to play its home match in the capital of the country or in any other city. In this case, the transport of the visiting team from the capital to the city. designated for the playing of the match and back shall be borne by the host association. All the matches must be played on a stadium homologated or authorized by CAF as per the stadium requirements of the competition. Failure to abide to this provision, the case will be examined by CAF and sanctions may be imposed.

CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBAL

CAF

3. If the distance between the capital city and the venue of the match is superior to 200 kms, the host association shall provide the visitors with an airplane transport to the venue of the match and back. If this is not possible, the match shall be played in the capital city except by agreement between the two teams.

4. By agreement between the two concerned associations, the two matches can be played in the same country.

5. If there is an international airport in the city or nearby where the game is being played (at less than 200km distance); and if the visiting team would land directly at the airport; the host association must facilitate her entry formalities.

6. The matches shall be played at daylight or under floodlight.

7. The matches cannot start before 14 hours and not after 22 hours unless by exceptional

authorization of the Interclubs Committee,

8. The matches shall be played in accordance with the Laws of the Game.

9. Venue, Day and Kick-off:

9.1 The place, date (Friday, Saturday or Sunday) and the kick-off time of the preliminary round matches are set by the host federation who shall inform the General Secretariat of CAF, the opposing team, the referees and the Commissioner at least thirty (30) days before the match. After this deadline, neither the kick-off time neither the day of the match nor the match venue cant be changed except if there is an agreement communicated to CAF between the two teams or in case CAF decided differently on the matter.

If this provision is not respected, the Committee will impose the day and kick-off time of the concerned match. Failure to comply with this measure will result in a fine of two thousand (2000) U.S. dollars.

9.2 The place, date (Friday, Saturday or Sunday) and the time of kick-off time of the Second Preliminary are set by the host federation who shall inform the General Secretariat of CAF, the opposing team, the referees and the Commissioner at least fourteen (14) days before the match. After this deadline, neither the kick off time, neither the day of the match nor the match venue can be changed except if there is an agreement communicated to CAF between the two teams.

CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL

CAF

If this provision is not respected, the Committee will impose the day and the kick off time of the concerned match. Failure to comply with this measure will result. in a fine of four thousand (4000) U.S. dollars.
Nakuhakikishia atakwambia maandishi hayaonekani.
 
Kafungwa Orlando machungu na chuki yapo jangwani hvi kuna kesi iliyoanzishwa na utopolo wakashinda naona wamepeleka malalamiko CAF halafu wanaisingizia Orlando.
We kiazi mnakazi sana unambiwa caf unaandika kuhusu wanajangwan una akili weee
 
Sasa wapi wameandika Club ndio itapokea Wageni badala ya football association?
Jamaa mwongo au hajui kusoma

document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini. Orlando Pirates wana haki tena wana wajibu wa kukataa questionable gestures za Simba.

Inakuaje Barbara Gonzalez, CEO wa Simba, hajui kitu kama hicho ???

Mohammed Dewji umeajiri kimeo.

Barbara Gonzalez is a nepotism hire, or, at worst, a job harassment hire.
 
WEWE ndio umebisha!

Mimi nimesema Ms Gonzalez ni kilaza mkubwa kwa sababu anadhani SIMBA ndio ilikuwa na wajibu wa kutoa usafiri na malazi ya mgeni, Orlando Pirates.

Mimi nasema ni TFF ndio wanawajibu kutoa malazi, makazi, usafiri na usalama wa mgeni, Orlando Pirates.

Unaebisha ni WEWE! Na ukasema mimi ni mjinga. Na nina wivu na mwanamke Gonzalez.

Sasa lete proof ya kunikosoa. ukishindwa kuleta proof ni kwamba wewe ndio mjinga. But nobody cares about ujinga wa ANIGRAIN.

Ni huyu Mama Gonzalez ndio tatiz.! A lightweight. Hatoshi kuwa CEO wa Simba.

Mibongo kwa ujuaji wa Kijinga wala hayazidiwi, Ona hili Bogus linasema Babra hatoshi kuwa CEO wa Simba wakati yeye usikute halijawahi kuwa hata Katibu wa Vikoba na halina CV yoyote inayotambulika zaidi ya Miaka ya kumaliza Shule ya Msingi, Sekondari pengine na Chuo.
 
Jamaa mwongo au hajui kusoma

document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini. Orlando Pirates wana haki tena wana wajibu wa kukataa questionable gestures za Simba.

Inakuaje Barbara Gonzalez, CEO wa Simba, hajui kitu kama hicho ???

Mohammed Dewji umeajiri kimeo.

Barbara Gonzalez is a nepotism hire, or, at worst, a job harassment hire.

Kwahiyo unadhani ukiandika haya ndiyo atafukuzwa sio? Au you think you're in a position ya kufanya recommendations kwenye Bodi ya Simba?
Ok let's wait and see how far utakapoishia.
 
Jamaa mwongo au hajui kusoma

document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini. Orlando Pirates wana haki tena wana wajibu wa kukataa questionable gestures za Simba.

Inakuaje Barbara Gonzalez, CEO wa Simba, hajui kitu kama hicho ???

Mohammed Dewji umeajiri kimeo.

Barbara Gonzalez is a nepotism hire, or, at worst, a job harassment hire.
"document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini" nimekunukuu maneno yako hapo juu ili ujione ulivo kiazi

unaelewa tofauti ya National association na Host association? Kwakuwa lengo ni kuelimisha nyumbu kama nyie ata usijali nitakusadia hapo, National association hiyo ni football federation and Host association ni club mwenyeji, umeelewa? Haya kasome majukumu ya host association ni yepi kwa mgeni wake

Na huyo ulie mquote hapo akutetee yeye mwenyewe alikuwa hajui kama wewe ila baada ya kumuelewesha umeona karudi tena? Kwenye hizo Sheria za Caf umeona wapi mamlaka ya kumpokea Mgeni kapewa football federation? Alafu mbona huleti proof ya kanuni za Caf kumpa mamlaka football federation na sio club unakwama wapi?

Tuliza kichwa mkuu, kutokujua kitu sio dhambi maana kila siku binadamu tunajifunza, ila kuendelea kukumbatia ujinga hiyo ni dhambi kubwa sana, Kwa leo we kubali Tu kuwa umeelimishwa na kuelewa ili usije kukusanya tena kundi la watu kijiweni kwenu ukawajaza ujinga
 
Mibongo kwa ujuaji wa Kijinga wala hayazidiwi, Ona hili Bogus linasema Babra hatoshi kuwa CEO wa Simba wakati yeye usikute halijawahi kuwa hata Katibu wa Vikoba na halina CV yoyote inayotambulika zaidi ya Miaka ya kumaliza Shule ya Msingi, Sekondari pengine na Chuo.
Na wanabisha club haimwandalii mgeni wake, hivi tangu Simba icheze kimataifa anadhani ni nani ambaye huwa anawapokea na kuwaandalia makazi wageni wake?

Amesahau hata Azam FC juzi juzi tu haoa wamewapokea Pyramid FC wakawapatia mapokezi yote mpaka hata basi lao IRIZAR wakalitumia?

Huyu jamaa badala ya kushina kishabiki anipatie muda basi akaulizie walau watu wengine wenye uelewa anaoweza kuwaamini. Kubaki unabishana hapa kitu usichokijua ni upuuzi wa hali ya juu
 
Jamaa ni mjinga wa mwisho, alafu limekazana kabisa kubisha ikiwa kitu chenywe halijui, hawa watu kama upo nao karibu unaweza kulinasa vibao

Alikuwa anabisha kama mlevi Tu nikaamua kujipa majukumu ya kumuelewesha ila bado linabisha, likataka ushahidi wa kanuni na Sheria za Caf zinazoongelea majukumu ya team mwenyeji

nikaona sio case nikaenda website ya Caf nikatoa documents nikaleta, likadai haifunguki nikaona sio shida, nikacopi maneno nikalitupia ila bado halielewi na linaendelea kubisha, watu wa namna hii ni wa hovyo Sana

wanaendeshwa na mihemko na mazoea, kuwa na Mtoto au Baba mwenye Akili za huyu mdau ni hasara sana, linabisha Tu ila lenyewe halijaleta ata doc 1 inayosema TFF ndio mwenye mamlaka ya kuwapokea wageni, TFF ipokee club imekuwa ni team ya taifa hiyo, wanatia aibu Sana watu wa namna hii ata kama ndio usimba na uyanga hapana hii imezidi kiwango cha ujinga
 
Back
Top Bottom