Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
PumbavuThere is a "potential stratagem" involving Simba Sports Club officials and Caf appointed officials who come to handle the Caf matches being hosted by Simba.
It's highly likely that the outcomes of the most matches involving the Tanzanian side on their home ground have been influenced by the Caf appointed officials, ostensibly, to favour the hosts. Someday time will prove me right [emoji106]
Huo uchunguzi (Kama upo )hauwezi kubadili matokeo.Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal 1 kwa bila
Acha kusambaza uongo.There is a "potential stratagem" involving Simba Sports Club officials and Caf appointed officials who come to handle the Caf matches being hosted by Simba.
It's highly likely that the outcomes of the most matches involving the Tanzanian side on their home ground have been influenced by the Caf appointed officials, ostensibly, to favour the hosts. Someday time will prove me right 👍
Labda unazungumzia CAF ya pale jangwani!!! Lakini CAF tunayoijua ya huko CAIRO kwenye website yake hakuna kitu kama hicho.Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal 1 kwa bila.
Mkuu mwiko waliouweka huko nyuma unauma haswa.Ujinga mzigo
Kuws Shabiki wa Yanga lazima Ujitoe Ufahamu
Mkuu kwani ni Simba tu kamfunga Al Ahl kwa Mkapa?Tatizo la mpira wa Tanzania ni kuwa na mashabiki wa team 2 Tu, hapo ndio shida ilipo na haitokuja kuisha kamwe, akishinda Simba walalamikaji ni mashabiki wa Yanga, kuanzia wachambuzi,waandidhi na watangazaji
Laiti kama Tanzania ingekuwa na utamaduni wa kuwa na mashabiki wa team tofauti tofauti ingekuwa rahisi sana kuzuia Mambo kama haya maana ataongea shabiki wa Azam,Mtibwa,Mbeya Kwanza,KMC,Ruvu,Kagera nk kwahiyo maelezo/mawazo yao yasingeendeshwa na hisia na mihemko
Leo hii ukae Tanzania unasema Simba inafanya hujuma katika uteuzi wa waamuzi wa michezo Yao ya nyumbani, hivi kwa Akili za kuvukia zebra Tu Simba inaweza kuizidi nguvu/ushawishi/pesa Al ahyl ili Caf ifanye ukanjanja wa Simba kumfunga Al ahyl Kwa Mkapa mara 2 nzima?
Siku Yanga ikiwa team kubwa ndio itajua falsafa ya mpira wa kiafrica ikoje, mpira wa Africa unakutaka upate matokeo nyumbani kwako ila huzuiliwi kushinda ugenini, ila team nyingi zinaenda away na mentality ya kutafuta draw kwahiyo kama Una kikosi kizuri na uzoefu basi Africa unaifunga team yoyote ukiwa nyumbani kwako
Leo hii mfano south Africa team zao zote zina washabiki wake, kwahiyo huwezi kukuta mashabiki wa kaizer,baroka, Orlando,Cape town city,amazulu, pirates, supersport na team zingine wanaungana kuinanga mamelod kwamba inatumia hujuma kushinda game za nyumbani
Kwa mpira wa Africa ukiona bado hujaanza kulalamikiwa unapokuwa kwako basi ujue wewe sio team kubwa na huna dalili za kuja kuwa team kubwa, Simba na Yanga zilikuwa zinaongoza Kwa malalamiko kila wakienda nje, Ila wageni wakija kwetu hawalalamiki maana wanajua wanakuja kushinda, Leo hii Simba inaenda kucheza nje na huskii malalamiko japokuwa wanafungwa Kwa sababu washakuwa na mentality za ukubwa
Simba Leo hii inalalamikiwa Kwa sababu teyari ishaproove ina uwezo wa kushinda game za nyumbani, kwahiyo imeset standard Kwa mkapa, kama anafungwa Al ahyl basi kiufupi hakuna team itashtuka ikipoteza Kwa mkapa ila saizi wanakuja na mind game zao Kwa kujua huku kuna mashabiki wa team 2 kwahiyo ata iweje watapata support Tu, kisha sie tunabaki na usimba wetu na uyanga wetu
Ndomana ni rahisi kuskia Al ahyl akilalamikia mamelod kuwa inawahujumu,au Raja akitoa shutuma Kwa Al ahyl, au zamaleki akishtaki caf wydad au Tunis akilalamikia mazembe maana hizo club ziko level moja kwenye nguvu/ushawishi hivo yoyote anaweza kufanya chochote ili wahakikishe wanashinda nyumbani
Ila unachokisema wewe ni Sawa na useme KMC wawe na uwezo wa kuhonga TFF ili waamuzi wawapendelee dhidi ya Yanga au Simba utakuwa mjinga wa mwisho, maana hawana nguvu hiyo ya ushawahi wala pesa, Mentality za Team ndogo ni kama Yanga kwenda kutaka kugomea mchezo kule Nigeria dhidi ya rivers utd, ule ni mfano wa team ndogo ambayo haijiamini dhidi ya team ya level yake
Akikupa chanzo nishtue huku.Source mkuu
Mara 2 nzima. Some text missingMkuu kwani ni Simba tu kamfunga Al Ahl kwa Mkapa?
Ndo maana wanafanya uchunguzi wajue kama ni kweli ama lahHivi ni kweli VAR ilizimwa?? Ushahidi upo wapi??
Kwaiyo yanga ndo inafanya uchunguzi? Mjinga namba moja ni wewe maana sijaona popote ambako yanga anahusika na icho kilichosemwaUjinga mzigo
Kuws Shabiki wa Yanga lazima Ujitoe Ufahamu
Ako kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,Wewe dada Gonzalez, mambo ya kuikomboa Afrika Kusini kwa makaburu hayahusiki hapa...
Tanzania ipeleke invoice Afrika Kusini ya gharama ya kuwakomboa kwenye ubaguzi watulipe tumalizane na hilo deni basi!
Gonzalez hana common sense, eti analalamika Orlando Pirates kukataa huduma za magari ya Simba na hoteli za Simba...
TFF, Jeshi la Polisi, Wizara ya Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje, ndio wenyeji wa mgeni yeyote wa ziara rasmi ya mpira hapa nchini, na ndio walitakiwa kutoa magari na hoteli kwa Orlando Pirates, sio Simba.
Na ndio hao wataulizwa na dunia likitokea lolote hotelini na kwenye mabasi, sio Simba.
Gonzalez is a lightweight, lacks common sense.
Ficha ujinga wako mkuu, unamuonea wivu mtoto wa kike hadi unaongea ujinga, TFF itakuwa mwenyeji wa mgeni endapo itahost Nchi na sio club, tangu lini uliwahi kuona inakuja club alafu shirikisho la mpira ndio linahangaika?Wewe dada Gonzalez, mambo ya kuikomboa Afrika Kusini kwa makaburu hayahusiki hapa...
Tanzania ipeleke invoice Afrika Kusini ya gharama ya kuwakomboa kwenye ubaguzi watulipe tumalizane na hilo deni basi!
Gonzalez hana common sense, eti analalamika Orlando Pirates kukataa huduma za magari ya Simba na hoteli za Simba...
TFF, Jeshi la Polisi, Wizara ya Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje, ndio wenyeji wa mgeni yeyote wa ziara rasmi ya mpira hapa nchini, na ndio walitakiwa kutoa magari na hoteli kwa Orlando Pirates, sio Simba.
Na ndio hao wataulizwa na dunia likitokea lolote hotelini na kwenye mabasi, sio Simba.
Gonzalez is a lightweight, lacks common sense.
Wewe kiazi Acha mipasho na ongea facts, uliwahi kuskia Al ahyl analalamika katika hizi nyakati zote mbili alizokuja? Uliwahi kuskia mazembe amelalamika wakati amekuja kucheza na Simba robo fainali?Ako kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
Kwa nini nifiche ujinga wangu?Ficha ujinga wako mkuu, unamuonea wivu mtoto wa kike hadi unaongea ujinga, TFF itakuwa mwenyeji wa mgeni endapo itahost Nchi na sio club, tangu lini uliwahi kuona inakuja club alafu shirikisho la mpira ndio linahangaika?
Kwenye level za vilabu mwenyeji ndio anapewa mamlaka ya kumpokea Mgeni na sio TFF, team wenyejei wanatakiwa kuwaandalia wageni wao usafiri,hotel ya kufkia ambayo itakuwa karibu na training pitch pamoja na Ku organize ulinzi Kwa kipindi chote ambacho watakuwa katika ardhi yenu
Kipindi team zetu zinaenda Nchi za watu wanapewa mabasi mabovu,wanapelekwa uwanja wa mazoezi ulio mbali na hotel,wanapelekwa hotel iliyo mbali na uwanja utakaotumika kwenye mechi kumbe ulijua shirikisho la mpira ndio linawafanyia hayo we kiazi?
Club kama haitaridhika na huduma hizo inaweza kukataa na kujitaftia yenyewe kulingana na matakwa yao Ila huwezi kuona shirikisho linajiangaisha kuitaftia mahitaji club maana hayo sio majukumu yake, club inaweza kuomba msaada kutoka ubarozi wao katika nchi husika
Ungeishia kumlaumu Kwa kuingiza Mambo ya mahusiano yaliyopo baina ya Tanzania na Africa kusini ungekuwa na hoja, ila kwakuwa mnaacha mihemko ndio iwaendeshe mnajikuta mnalopoka tu
Hapana mkuu, me siongelei timu ambazo zimewahi kuifunga Al ahyl bali naongelea maneno ya huyo mdau aliesema Simba inapata msaada kutoka Caf kwenye uteuzi wa marefa ili ye ashinde akiwa nyumbaniMkuu kwani ni Simba tu kamfunga Al Ahl kwa Mkapa?
Kwa nini nifiche ujinga wangu?
Hiyo hoja yako ya kusema nifiche ujinga ni ya kijinga kwa sababu nitaendelea kuwa the dunderhead that you are!
Nionyeshe sheria na kanuni za CAF zinazosema timu mwenyeji, SIMBA, ina wajibika kwa malazi na usafiri wa timu ya ugenini, ORLANDO PIRATES
kwahiyo bado unabisha?