Si Bora ata aseme maandishi hayaonekani mkuu tutasema labda jamaa ana matatizo ya machoNakuhakikishia atakwambia maandishi hayaonekani.
Sasa unataka wawalalamikie yanga wakati hawatoi changamoto wanapigwa nje ndani Sasa utalalamika Nini ukiona unafanya Jambo kila Mtu anasema Safi hata mpinzani ujue unakosea pakubwaAko kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
HOST ASSOCIATION sio timu wewe dunderhead.huyo Host Association ni team mwenyeji kama vile Simba au Yanga pale ambapo anakuwa nyumbani majukumu yake Kwa mgeni wake
Mbona naona National Association sio hosting club au macho yangu mabovu?We kiazi nimeamua kukuletea ushahidi wa kanuni na Sheria za Caf kuhusu roles za host club katika mashindano ya kimataifa ili mpunguze kulopoka hovyo juu ya msivovijua
Ila ukatafute sasa mtu wa kukutafsria maana Kwa ujinga wako lazima Tu lugha ya kimalkia itakuwa haipandi, kumbuka na wewe kuleta kanuni na Sheria kutoka Caf zinazosema shirikisho la mpira ndio litawajibika na clubView attachment 2193758
Mpira hauko hivyo , timu mwenyeji ndie mwenye jukumu la kumpokea mgeniWewe dada Gonzalez, mambo ya kuikomboa Afrika Kusini kwa makaburu hayahusiki hapa...
Tanzania ipeleke invoice Afrika Kusini ya gharama ya kuwakomboa kwenye ubaguzi watulipe tumalizane na hilo deni basi!
Gonzalez hana common sense, eti analalamika Orlando Pirates kukataa huduma za magari ya Simba na hoteli za Simba...
TFF, Jeshi la Polisi, Wizara ya Michezo, Wizara ya Mambo ya Nje, ndio wenyeji wa mgeni yeyote wa ziara rasmi ya mpira hapa nchini, na ndio walitakiwa kutoa magari na hoteli kwa Orlando Pirates, sio Simba.
Na ndio hao wataulizwa na dunia likitokea lolote hotelini na kwenye mabasi, sio Simba.
Gonzalez is a lightweight, lacks common sense.
Usijifariji ndugu.Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal 1 kwa bila.
Wakati tunashinda Nigeria, Congo, na kusini hapo ulikua umefarikiAko kamdada ni kakilaza fulani hivi ambako kamebaki kutafuta huruma na umaarufu wa kulazimisha, eti wawape ulinzi kwa lipi hasa ambalo ni spesho kwao! Wao wanafanya mambo yao ya ovyo ovyo waende na wao wakakione cha moto,,,kanaanza kujitetea ujinga tu,,kwanini kila timu inayokuja hapa lazima wailalamikie simba? Ina maana kila timu Ina chuki binafsi na simba? Hii kitu aiingii akilini ata kidogo aya malalamiko ayajaanza leo wala jana ni vizuri caf kuanza kuwamulika awa mabwana kuna michezo michafu Sana uwa wanafanya ndo maana ya slogan pendwa ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje unaishangaa timu inayocheza vizuri kwa mkapa na ushindi mnono inakuwa Kama ihefu iliyochangamka, kumbe kuna busta inafanyika ya michezo michafu nyumbani,
Wewe ndio kilaza namba moja , Babra ana miaka minne anapokea club zote zinazokuja kucheza na Simba hapaWEWE ndio umebisha!
Mimi nimesema Ms Gonzalez ni kilaza mkubwa kwa sababu anadhani SIMBA ndio ilikuwa na wajibu wa kutoa usafiri na malazi ya mgeni, Orlando Pirates.
Mimi nasema ni TFF ndio wanawajibu kutoa malazi, makazi, usafiri na usalama wa mgeni, Orlando Pirates.
Unaebisha ni WEWE! Na ukasema mimi ni mjinga. Na nina wivu na mwanamke Gonzalez.
Sasa lete proof ya kunikosoa. ukishindwa kuleta proof ni kwamba wewe ndio mjinga. But nobody cares about ujinga wa ANIGRAIN.
Ni huyu Mama Gonzalez ndio tatiz.! A lightweight. Hatoshi kuwa CEO wa Simba.
Mkuu unaanza Kwa kupitia basi majibu ya maswali waliyouliza wenzio, kila mtu akija aulize kitu kile kile inakuwa usumbufuMbona naona National Association sio hosting club au macho yangu mabovu?
Sasa hosting association s ndio SIMBA? Au umedhan ni National association??Jamaa mwongo au hajui kusoma
document hiyo hapo juu inasema hosting Association ndio ina wajibu huo wa kuwa mwenyeji wa club ya ugenini. Orlando Pirates wana haki tena wana wajibu wa kukataa questionable gestures za Simba.
Inakuaje Barbara Gonzalez, CEO wa Simba, hajui kitu kama hicho ???
Mohammed Dewji umeajiri kimeo.
Barbara Gonzalez is a nepotism hire, or, at worst, a job harassment hire.
[emoji3][emoji3][emoji3] dahhh we jamaa kiazi sana, nimekuuliza tofauti ya National association na Host association, hebu tuanzie hapo Kwanza
[emoji3][emoji3] ficha ujinga wako basi, hivi we jamaa Una elimu gani? tukiachana na haya Mambo ya mpira maana huku huna unalojua, ningependa Tu kujua elimu yako ila sio Kwa ubaya, kama association ni shirikisho vipi maana ya Federation?Association ni SHIRIKISHO
Timu sio shirikisho, timu ni CLUB.
Una ubongo ssaizi ya njegere, pea brain. Tutegemee nini ?
Hao tutawawekea Bernard Morisson.Kafungwa Orlando machungu na chuki yapo jangwani hvi kuna kesi iliyoanzishwa na utopolo wakashinda naona wamepeleka malalamiko CAF halafu wanaisingizia Orlando.