clinical pharmacology2 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,387 Reaction score 2,516 Oct 4, 2023 #21 Natamani makundi yatajayotoka ijumaa yawe kama jinsi timu zillivyopangwa hapo. Zipangwe vertically yaani kila group liwe na timu kutoka port 1,2,3 na 4 Group la simba litakuwa hivi Wydad Simba Al hilal Jwaneng galaxy
Natamani makundi yatajayotoka ijumaa yawe kama jinsi timu zillivyopangwa hapo. Zipangwe vertically yaani kila group liwe na timu kutoka port 1,2,3 na 4 Group la simba litakuwa hivi Wydad Simba Al hilal Jwaneng galaxy
G Gmarra JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 456 Reaction score 427 Oct 4, 2023 #22 Tate Mkuu said: Wazee wa papatu papatu ndiyo safari imefikia tamati. Nawatabiria kuyaaga mashindano kwa aibu kubwa. Click to expand... avater na coment yako vinaendana.
Tate Mkuu said: Wazee wa papatu papatu ndiyo safari imefikia tamati. Nawatabiria kuyaaga mashindano kwa aibu kubwa. Click to expand... avater na coment yako vinaendana.