CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

Natamani makundi yatajayotoka ijumaa yawe kama jinsi timu zillivyopangwa hapo.


Zipangwe vertically yaani kila group liwe na timu kutoka port 1,2,3 na 4


IMG_5404.png




Group la simba litakuwa hivi

Wydad

Simba

Al hilal

Jwaneng galaxy
 
Back
Top Bottom