CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

Huu mkeka si halali kabisa, kafu wanaipendelea simba. Tumechukua kombe la mapinduzi, mabingwa wa kihostoria, kwenye ligi tumepoteza mechi moja tu wanatuzidi vipi simba?
Huo uonevu wa wazi tunaonewa na marefa, tiefuefu wanatuonea na kafu nao wanatuonea jamani dah
 
Hao CAF no sawa CUF ktk CAFCL 2020/21
Simba na mamelody ndio timu zenye point 13 sasa kwann wasitupe nafasi yetu stahiki ?
Hao Tp mazembe sijui wana alama 2 yaan wanaacha akili ndogo itawale akili kubwa ? Nonsense CAF
 
Naomba utupe na nafasi wanao jiita mabingwa wa history ya mababu maana mandishi madogo sana.🐸🐸🐸🐸

Simba Top 8 lazima mwaka huu maana hao wa point 21 tunawapita wote.
 
Huu mkeka si halali kabisa, kafu wanaipendelea simba. Tumechukua kombe la mapinduzi, mabingwa wa kihostoria, kwenye ligi tumepoteza mechi moja tu wanatuzidi vipi simba?
Huo uonevu wa wazi tunaonewa na marefa, tiefuefu wanatuonea na kafu nao wanatuonea jamani dah

Utawauwa Utopolo na hii sarcasm,si ajabu hata wasielewe umemaanisha nini hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao CAF no sawa CUF ktk CAFCL 2020/21
Simba na mamelody ndio timu zenye point 13 sasa kwann wasitupe nafasi yetu stahiki ?
Hao Tp mazembe sijui wana alama 2 yaan wanaacha akili ndogo itawale akili kubwa ? Nonsense CAF

Nadhani waki update itakuwa tofauti,ukiangalia hii update ni kabla ya mechi za juzi na jana.
 
Wa update upeai bwana yaan vi timu vina point 2 vina tupitaje ? Na tumevibwenga akina vi Al hilal, na wenzake Tp mazembe yaan top 5 Africa ni
Al ahaly
Mamelody
Simba
Wydad
Experence de Tunis iyo ndio top 5 ina paswa isome

Then top 6 to 10
Pyramid
Raja casa
Horoya
As vita
Tp mazembe

Caf wapuuzi inatakiwa wainakili hii top 10 yangu
 
Sasa hapo sisi mabingwa wa kihistoria tuyakuwa top ngapi?
 
Huu mkeka si halali kabisa, kafu wanaipendelea simba. Tumechukua kombe la mapinduzi, mabingwa wa kihostoria, kwenye ligi tumepoteza mechi moja tu wanatuzidi vipi simba?
Huo uonevu wa wazi tunaonewa na marefa, tiefuefu wanatuonea na kafu nao wanatuonea jamani dah
....alisikika Makamu Mwenyekiti wa Atletico De Uto akilalamika.
 
Mazembe, AS Vita na Al Hilal wanatakiwa kuipisha Simba Sc haraka sana. Tunaingia nusu fainali tunachumpa mpaka nafasi ya 6
 
Confederation & champion , utakuw unalazimisha kufatilia mpira

Haijalisha confederation wala Caf champions league.

Raja Casablanca, Enyimba na Etoile du sahel wanashiriki confederation cup, kwahiyo simba ni zaidi yao kwakuwa tu anacheza champion! Akili ya wapi hiyo
 
CAF wakitoa chati nyingine Simba ana uhakika wa kupanda nafasi nne.
 
Back
Top Bottom