CAF: Ripoti ya Mkaguzi imeonesha Uwanja wa Mkapa hauwezi kukamilika kwa ajili ya Fainali ya Simba Vs Berkane

CAF ni wahuni,hizi ni ngonjera zakuhalalisha uhuni wao.
#MICHEZO "CAF wamefanya Uamuzi Sahihi kwa Upande wao kwa Maslahi ya Mpira kuhamisha fainali Benjamin Mkapa kwenda Uwanja wa Amani. CAF hawajafanya figisu yeyote ya Makusudi" amesema Ahmed Ally, Meneja wa Mawasiliano Simba SC kwenye mkutano na waandishi wa habari hii leo.

#CAFCC #EastAfricaTV
FB_IMG_1747738566053.jpg
 
Sasa jamani haya mambo nao caf wanaleta uhuni pia.
Rais wa caf sii alikujaga kukagua uwanja kwa ajiri ya chan wakasema uwanja mukide inakuwaje tena uwanja sio mukide kwa final?
Africa bwana somjo tupu
Uliangalia mechi ya Simba na Al Masr?
 
Wahusika wote wawajibike kuanzia Msemaji Msigwa aliyesema hata kabla ya mechi ya Al Masry kwamba "CAF waje hata leo kukagua uwanja upo tayari", Naibu Waziri Mwinjuma aliyekuwa anatoa kila siku kauli za kutuhadaa hadi Waziri Mkuu Majaliwa aliyesema "tunavyojua sisi uwanja upo tayari ila hatuwezi kuwaingilia CAF majukumu yao".

Mmekaa mnazurura na timu utadhani nyie ni sehemu ya benchi la ufundi halafu majukumu yenu ya msingi yanawashinda. Shame on you!

Embu tujenge utamaduni wa kuwajibika tuache utapeli wa kisiasa.

Na viongozi wa Simba wanaohusika kufichaficha uchafu huu wajue tunawazoom.
Mimi nikafikiri mnasusa tena kucheza hiyo mechi kama mlivyofanya ile tarehe 8 March! Eti leo unataka wahusika wote wawajibike! Ni wakina nani hao wahusika wote?
 
Wahusika wote wawajibike kuanzia Msemaji Msigwa aliyesema hata kabla ya mechi ya Al Masry kwamba "CAF waje hata leo kukagua uwanja upo tayari", Naibu Waziri Mwinjuma aliyekuwa anatoa kila siku kauli za kutuhadaa hadi Waziri Mkuu Majaliwa aliyesema "tunavyojua sisi uwanja upo tayari ila hatuwezi kuwaingilia CAF majukumu yao".

Mmekaa mnazurura na timu utadhani nyie ni sehemu ya benchi la ufundi halafu majukumu yenu ya msingi yanawashinda. Shame on you!

Embu tujenge utamaduni wa kuwajibika tuache utapeli wa kisiasa.

Na viongozi wa Simba wanaohusika kufichaficha uchafu huu wajue tunawazoom.
Neno "Kuwajibika" halipo kwenye kamusi ya maviongozi ya ccm
 
Sasa jamani haya mambo nao caf wanaleta uhuni pia.
Rais wa caf sii alikujaga kukagua uwanja kwa ajiri ya chan wakasema uwanja mukide inakuwaje tena uwanja sio mukide kwa final?
Africa bwana somjo tupu
Rais angetuma wataalamu kwann aje yeye.
 
Rais angetuma wataalamu kwann aje yeye.
SIo kwamba kuja kwake alikuja na hao wataalam. Bwana wewe nilishakwambia waafrica sie manyani tunatumia utumbo kufikiri. Caf tz wote waongo tuu.
Kwanza mie ningekuwa rais wa caf chan wala nisingesogeza mbele....ningewapa morocco maana watu wanaleta ujinga
 
Caf wakijitahidi kuwaburudisha kolozfc
 
Attachments

  • file_000000008e8461f898e34d1d911f2575.png
    file_000000008e8461f898e34d1d911f2575.png
    2.8 MB · Views: 10
Hii ni aibu Kwa serikali ya CCM na 2027 sio mbali ila viwanja vilivyopo ndio hivyo viwili Gombani na Amani complex hhuko Zanzibar
 
Wahusika wote wawajibike kuanzia Msemaji Msigwa aliyesema hata kabla ya mechi ya Al Masry kwamba "CAF waje hata leo kukagua uwanja upo tayari", Naibu Waziri Mwinjuma aliyekuwa anatoa kila siku kauli za kutuhadaa hadi Waziri Mkuu Majaliwa aliyesema "tunavyojua sisi uwanja upo tayari ila hatuwezi kuwaingilia CAF majukumu yao".

Mmekaa mnazurura na timu utadhani nyie ni sehemu ya benchi la ufundi halafu majukumu yenu ya msingi yanawashinda. Shame on you!

Embu tujenge utamaduni wa kuwajibika tuache utapeli wa kisiasa.

Na viongozi wa Simba wanaohusika kufichaficha uchafu huu wajue tunawazoom.
Msigwa sio mtu serious sana mwenye weledi wa kutosha
 
Back
Top Bottom