CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

Wakuu mnabishana bure tu, hii nafasi Enyimba aliyopata ilikuwa ya Horoya. Horoya wamekumbwa na ukata mkubwa sana ikabidi waombe kujitoa kushiriki ndio maana nafasi akapewa Enyimba. Kumbuka kila Ukanda unatakiwa uwe na at least team moja, na kwa kila nchi team zisizidi moja...
Kuhusu vigezo vya washiriki, wameangalia ubora wa team kwenye ukanda husika, fanbase, na ushiriki wa team kwenye mashindano ya CAF kwa misimu kadhaa.
Hivi ndivyo ninavyofahamu.
 
Kigezo kwanza Timu ambayo currently within five year hajakosa kushiriki na kufanya vema kwenye champion League kigezo kingine Zone,Cosafa,Cecafa etc, Kigezo kingine mashabiki
Taja timu inayoizidi ubora Simba ukanda huu wa Africa Mashariki.
 
Back
Top Bottom