zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Alisikika mlevi mmojaSiku tukibeba ndoo CAF itapiga sana hela. Amsha amsha mitandaoni mwaka mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikika mlevi mmojaSiku tukibeba ndoo CAF itapiga sana hela. Amsha amsha mitandaoni mwaka mzima
Kweli mkuu mnyama Hadi draw anashangilia tena kwA siku 2-3 nani wa kumpingaMnyamaaaaaaa hana mpinzani mashabiki wake tuko na vibeeee
Don't be kilaza ,Simba is from east and central Africa only club from the area presenting for 4 yrs quarter finalsSimba the giant from Tanzania.
Watu wanajadili international issues wewe bado umeng'ang'ania jando na unyago. Haya tupe sifa/mafanikio ya Utopolo kimataifaMpambanie sasa Ubingwa wa Ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! Maana huko mlishatolewa.
Si Yanga mara zote anatangulia kwa baiskeli ya miti! au?
Haji atalalamika sasa ivi ili awekwe Kibwana ShomaliKatika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu ya mwisho ya klabu bingwa au shirikisho nae ni PAPE OUSMANE SAKHO KUTOKA SIMBA.
HAKIKA SIMBA TUPO DARAJA LA JUU SANA KIUMAARUFU NA KUPENDWA.
Siku ikifika hizo akaunt zao zinatoboa hadi duniani.CAF huwa wanatamani sana Simba ifike Final
Imetosha Mkuu wamekuelewaBaadhi ya Sababu ni hizi:
Simba ni club ambayo ina amsha amsha kubwa mitandaoni kuliko club yoyote ya Mpira kusini mwa jangwa la Sahara.CAf wenyewe wakipost chochote kinachuhusiana na Simba kwenye accounts zao kinakuwa na wachangiaji wengi sn
Simba ndy club pekee barani Africa iliyovunja records za kutazamwa you tube..mechi ya Simba Vs alhaly ikiwa ndy kinara
Mechi za Simba ndy zinawaingizia CAF mtonyo kuliko mechi zozote huko mjini you tube..nenda huko mjini YouTube kaangalie kisha Rudi na screen shots
Simba ndy club pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambayo mechi zake za CAF mashabiki zaidi ya elfu 70 wanajaa full house..nasema elfu 70 Kwa sababu uwanja wa taifa hauna record sahihi kuhusu idadi kamili ya mashabiki (hiyo mashabiki elfu 60 tff wanasema Tu midomoni lkn hawana uhakika)
Kwa maelezo ya mchina aliyejenga kiwanja anasema idadi ya viti vinafika elfu 70..hii wengi hawajui,nenda tff kaulize hili kisha subiri jibu lao utashangaa
Ukiachana na vibe la mitandaoni ambako Simba Hana mpinzani pia Simba ndy club ambayo mashabiki wake Wana vibe nje ya uwanja kuliko club yoyote kusini mwa jangwa la Sahara..Kwa kifupi cuf wanajua Simba ukiwa inacheza Juma pili,kuanzia Leo jumatatu ni sherehe na burudani Kwa mashabiki,Kwa hiyo CAF nao wanatembea na huo upepo wa Simba
Niendeleee....????
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Usijali,uto nao wataanza kupostiwa mwezi wa nane😅😅Hakuna namna ndio kombe pekee hilo atakalopata msimu huu