CAF Wanaipenda sana Simba

CAF Wanaipenda sana Simba

Hakuna namna ndio kombe pekee hilo atakalopata msimu huu
 
Mpambanie sasa Ubingwa wa Ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! Maana huko mlishatolewa.

Si Yanga mara zote anatangulia kwa baiskeli ya miti! au?
Watu wanajadili international issues wewe bado umeng'ang'ania jando na unyago. Haya tupe sifa/mafanikio ya Utopolo kimataifa
 
Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu ya mwisho ya klabu bingwa au shirikisho nae ni PAPE OUSMANE SAKHO KUTOKA SIMBA.

HAKIKA SIMBA TUPO DARAJA LA JUU SANA KIUMAARUFU NA KUPENDWA.
Haji atalalamika sasa ivi ili awekwe Kibwana Shomali
 
Baadhi ya Sababu ni hizi:

Simba ni club ambayo ina amsha amsha kubwa mitandaoni kuliko club yoyote ya Mpira kusini mwa jangwa la Sahara.CAf wenyewe wakipost chochote kinachuhusiana na Simba kwenye accounts zao kinakuwa na wachangiaji wengi sn

Simba ndy club pekee barani Africa iliyovunja records za kutazamwa you tube..mechi ya Simba Vs alhaly ikiwa ndy kinara

Mechi za Simba ndy zinawaingizia CAF mtonyo kuliko mechi zozote huko mjini you tube..nenda huko mjini YouTube kaangalie kisha Rudi na screen shots

Simba ndy club pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambayo mechi zake za CAF mashabiki zaidi ya elfu 70 wanajaa full house..nasema elfu 70 Kwa sababu uwanja wa taifa hauna record sahihi kuhusu idadi kamili ya mashabiki (hiyo mashabiki elfu 60 tff wanasema Tu midomoni lkn hawana uhakika)
Kwa maelezo ya mchina aliyejenga kiwanja anasema idadi ya viti vinafika elfu 70..hii wengi hawajui,nenda tff kaulize hili kisha subiri jibu lao utashangaa

Ukiachana na vibe la mitandaoni ambako Simba Hana mpinzani pia Simba ndy club ambayo mashabiki wake Wana vibe nje ya uwanja kuliko club yoyote kusini mwa jangwa la Sahara..Kwa kifupi cuf wanajua Simba ukiwa inacheza Juma pili,kuanzia Leo jumatatu ni sherehe na burudani Kwa mashabiki,Kwa hiyo CAF nao wanatembea na huo upepo wa Simba

Niendeleee....????


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Imetosha Mkuu wamekuelewa
 
Back
Top Bottom