Baadhi ya Sababu ni hizi:
Simba ni club ambayo ina amsha amsha kubwa mitandaoni kuliko club yoyote ya Mpira kusini mwa jangwa la Sahara.Cuf wenyewe wakipost chochote kinachuhusiana na Simba kwenye accounts zao kinakuwa na wachangiaji wengi sn
Simba ndy club pekee barani Africa iliyovunja records za kutazamwa you tube..mechi ya Simba Vs alhaly ikiwa ndy kinara
Mechi za Simba ndy zinawaingizia cuf mtonyo kuliko mechi zozote huko mjini you tube..nenda huko mjini YouTube kaangalie kisha Rudi na screen shots
Simba ndy club pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambayo mechi zake za cuf mashabiki zaidi ya elfu 70 wanajaa full house..nasema elfu 70 Kwa sababu uwanja wa taifa hauna record sahihi kuhusu idadi kamili ya mashabiki (hiyo mashabiki elfu 60 tff wanasema Tu midomoni lkn hawana uhakika)
Kwa maelezo ya mchina aliyejenga kiwanja anasema idadi ya viti vinafika elfu 70..hii wengi hawajui,nenda tff kaulize hili kisha subiri jibu lao utashangaa
Ukiachana na vibe la mitandaoni ambako Simba Hana mpinzani pia Simba ndy club ambayo mashabiki wake Wana vibe nje ya uwanja kuliko club yoyote kusini mwa jangwa la Sahara..Kwa kifupi cuf wanajua Simba ukiwa inacheza Juma pili,kuanzia Leo jumatatu ni sherehe na burudani Kwa mashabiki,Kwa hiyo cuf nao wanatembea na huo upepo wa Simba
Niendeleee....????
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app