Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
lakini uto kwa pesa walizotumia hata hili la kuingia nusu angalau litawapoza japo bado ni hasaraKipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi
Kweli kabisa Mtani wewe ndiye wa kutusagia sisi kunguni?Kipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi
Kijana wa RageKipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi
Ni shidaa kweri kweriKipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi
Hii hapa Ghazl El Mahalla (pia ikijulikana kama Mahalla Al Kubra) ilicheza na Simba katika semi finalUkisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974
Scars njoo hukuUkisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
Kombe Gani!?Hii hapa Ghazl El Mahalla (pia ikijulikana kama Mahalla Al Kubra) ilicheza na Simba katika semi final
Source: Ghazl El Mahalla SC - Wikipedia
View attachment 2599603
[emoji3][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Kweli kabisa Mtani wewe ndiye wa kutusagia sisi kunguni?
Hapana wa Msata KilingeniKijana wa Rage
AahaaaaaaKuna kombe la mbuzi......lilianzishwa na mnigeria .......
Sasa wananchi walialikwa wakagoma
Makolo walialikwa walienda .......ndio wanaita nusu fainali [emoji23][emoji23]
Kwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cupHii hapa Ghazl El Mahalla (pia ikijulikana kama Mahalla Al Kubra) ilicheza na Simba katika semi final
Source: Ghazl El Mahalla SC - Wikipedia
View attachment 2599603
Akichukia Yanga ilo kombe aiseeeKipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi