CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

Ina maana humu hamna watu waliozaliwa miaka ya 50s na 60s jamani mtupe ukweli live

Hajawahi kunusa, kale kakombe ilikua kameandaliwa na mfanyabiashara wa nigeria na kalihusisha mataifa ya weusi tu, waarabu hawakuemo na ilikua kipindi ambacho CAF hawakuandaa mashindano yao ikawa kama kuna mgawanyiko fulani hivi, sema tukubali kauli ya Rage tu kua mashabiki wa simba ni mbumbumbu
 
Kiingeleza kidogo hicho kitupige chenga kiasi hiki jamani....

AIBU NAONA MIMI.
 
Kwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cup
Yeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)
 
Ndio Manara alivyowadanganya na nyie mmefuata kama nyumbu. Hivi Al Harach ya Algeria, nayo ni ya weusi?

Washamba na malimbukeni mnapata tabu saaaana na tunawacheka kwa dharaaaau !
 
Simba wasitufanye sie watoto🤣🤣🤣🤣
 
Kwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cup
Kumbuka nimekuwekea profile la wapinzani wa Simba (Mahalla)katika mechi hiyo ili ujue kuwa walicheza na Simba. Sijakuwekea profile ya Simba
 
Simba wasitufanye sie watoto🤣🤣🤣🤣
Manara ndio anawafanya ninyi kama wajinga, na bahati mbaya kweli wengi wenu mko hivyo. Aliwahi kusema pia kwamba hakuna klabu ya Tanzania iliyowahi kufikisha point 13 katika hatua ya makundi zaidi ya Yanga, bahati mbaya/nzuri akapata wafuasi na wengine wakaja hadi humu kuanzisha nyuzi
 
Unajua maana ya totalenergiesCAFCL?
 
Yeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)
Liliitwa kombe la WASHINDI BARANI AFRICA
 
No caf ndio wamesema sio manara we mbumbumbu
 
kama mtu hajui 'african cup of champions clubs' ndiyo 'revamped caf champions league' sidhani kama pia atakuwa anajua hii 'nbc premier league' ya leo ndiyo iliyokuwa ikiitwa ligi daraja la kwanza.

simba vs el mahalla el ghazl/el mahalla el kubra semi final 1974.
 
Liliitwa kombe la WASHINDI BARANI AFRICA
Kombe la Washindi lilikuwa linaitwa African Cup Winners' Cup. Angalia perfomance ya hii timu ya Mahalla Ghazil, utaiona hiyo African Cup Winners' Cup

Ina maana humu hamna watu waliozaliwa miaka ya 50s na 60s jamani mtupe ukweli live
Nipo kikongwe niliyekula chumvi kontena 10.. 74 simba alicheza nusu fainali michuano ya CAF, sikumbuki michuano ipi.. umri nao huu napoteza kumbukumbu.

Golikipa wa simba bwana mambosasa alitishiwa jambia uarabuni, ili asidake penati(hii ya kijiwe cha kahawa)
 
Kuna kombe la mbuzi......lilianzishwa na mnigeria .......

Sasa wananchi walialikwa wakagoma

Makolo walialikwa walienda .......ndio wanaita nusu fainali [emoji23][emoji23]
La mnaijeria ilikuwa 93.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…