CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
UJINGA NI KIPAJI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana humu hamna watu waliozaliwa miaka ya 50s na 60s jamani mtupe ukweli live
Yeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)Kwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cup
Navyojua hilo ni kombe la Club Bingwa, rekodi ambayo Simba ilifika hatua ha nusu ilikuwa ni CAF Cup ambayo ni Shirikisho ya sasa
Ndio Manara alivyowadanganya na nyie mmefuata kama nyumbu. Hivi Al Harach ya Algeria, nayo ni ya weusi?Hajawahi kunusa, kale kakombe ilikua kameandaliwa na mfanyabiashara wa nigeria na kalihusisha mataifa ya weusi tu, waarabu hawakuemo na ilikua kipindi ambacho CAF hawakuandaa mashindano yao ikawa kama kuna mgawanyiko fulani hivi, sema tukubali kauli ya Rage tu kua mashabiki wa simba ni mbumbumbu
Simba wasitufanye sie watoto🤣🤣🤣🤣Hajawahi kunusa, kale kakombe ilikua kameandaliwa na mfanyabiashara wa nigeria na kalihusisha mataifa ya weusi tu, waarabu hawakuemo na ilikua kipindi ambacho CAF hawakuandaa mashindano yao ikawa kama kuna mgawanyiko fulani hivi, sema tukubali kauli ya Rage tu kua mashabiki wa simba ni mbumbumbu
Kumbuka nimekuwekea profile la wapinzani wa Simba (Mahalla)katika mechi hiyo ili ujue kuwa walicheza na Simba. Sijakuwekea profile ya SimbaKwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cup
Manara ndio anawafanya ninyi kama wajinga, na bahati mbaya kweli wengi wenu mko hivyo. Aliwahi kusema pia kwamba hakuna klabu ya Tanzania iliyowahi kufikisha point 13 katika hatua ya makundi zaidi ya Yanga, bahati mbaya/nzuri akapata wafuasi na wengine wakaja hadi humu kuanzisha nyuziSimba wasitufanye sie watoto🤣🤣🤣🤣
Unajua maana ya totalenergiesCAFCL?Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
Liliitwa kombe la WASHINDI BARANI AFRICAYeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)
No caf ndio wamesema sio manara we mbumbumbuManara ndio anawafanya ninyi kama wajinga, na bahati mbaya kweli wengi wenu mko hivyo. Aliwahi kusema pia kwamba hakuna klabu ya Tanzania iliyowahi kufikisha point 13 katika hatua ya makundi zaidi ya Yanga, bahati mbaya/nzuri akapata wafuasi na wengine wakaja hadi humu kuanzisha nyuzi
Kombe la Washindi lilikuwa linaitwa African Cup Winners' Cup. Angalia perfomance ya hii timu ya Mahalla Ghazil, utaiona hiyo African Cup Winners' CupLiliitwa kombe la WASHINDI BARANI AFRICA
Wewe si umechukua kwa Manara ukakimbilia kupost humu, kwani unatufanya hatujui ilikotoka? 😁No caf ndio wamesema sio manara we mbumbumbu
Utaumiza tu kichwa chako, kuwaelewesha hawa watu! Ingekuwa Mzee Sunday na Mstaafu Kikwete, hawa ndiyo wangeweza kukuelewa!Hii hapa Ghazl El Mahalla (pia ikijulikana kama Mahalla Al Kubra) ilicheza na Simba katika semi final
Source: Ghazl El Mahalla SC - Wikipedia
View attachment 2599603
Nipo kikongwe niliyekula chumvi kontena 10.. 74 simba alicheza nusu fainali michuano ya CAF, sikumbuki michuano ipi.. umri nao huu napoteza kumbukumbu.Ina maana humu hamna watu waliozaliwa miaka ya 50s na 60s jamani mtupe ukweli live
La mnaijeria ilikuwa 93.Kuna kombe la mbuzi......lilianzishwa na mnigeria .......
Sasa wananchi walialikwa wakagoma
Makolo walialikwa walienda .......ndio wanaita nusu fainali [emoji23][emoji23]