Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Shangaa nawee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Caf hao hao wanasema yanga haijawahi cheza makundi champions league tangu 1998, ila wenye timu yao wanasema walishacheza robo fainali ya champions league
Hizi attachments hazifunguki tatizo niniKombe la Washindi lilikuwa linaitwa African Cup Winners' Cup. Angalia perfomance ya hii timu ya Mahalla Ghazil, utaiona hiyo African Cup Winners' Cup
View attachment 2599688
Unawalisha maneno hawajawah sema acha uongoCaf hao hao wanasema yanga haijawahi cheza makundi champions league tangu 1998, ila wenye timu yao wanasema walishacheza robo fainali ya champions league
Acha chai bana mahafali yako ya drs la saba nlikuwepo mwaka 2001😁Nipo kikongwe niliyekula chumvi kontena 10.. 74 simba alicheza nusu fainali michuano ya CAF, sikumbuki michuano ipi.. umri nao huu napoteza kumbukumbu.
Golikipa wa simba bwana mambosasa alitishiwa jambia uarabuni, ili asidake penati(hii ya kijiwe cha kahawa)
kwa jinsi watanzania mnavyopenda kubishana,kiboya hata wakiwepo,mtawabishia tuIna maana humu hamna watu waliozaliwa miaka ya 50s na 60s jamani mtupe ukweli live
Sio kweli, Simba alicheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 kwa wakati huo ikiitwa African Cup of Champions club akicheza na Ghazl El Mehalla ya Egyt..Navyojua hilo ni kombe la Club Bingwa, rekodi ambayo Simba ilifika hatua ha nusu ilikuwa ni CAF Cup ambayo ni Shirikisho ya sasa
Aliyekwambia CAF cup ndio yalikuwa shirikisho ni nani? Kombe la shirikisho lilikuwa ni African cup winner's cup. Fatulia kwa kipindi hiko kati ya mshindi wa CAF cup na mshindi wa African cup winner's cup je ni yupi anayecheza CAF super cup? Mashindano ya CAF super cup huusisha bingwa wa kombe la shirikisho CAF vs bingwa wa klabu bingwa.Yeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)
CAF cup haikuwa shirikisho bali African cup winner's cup ndio ilikuwa shirikishoSio kweli, Simba alicheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 kwa wakati huo ikiitwa African Cup of Champions club akicheza na Ghazl El Mehalla ya Egyt..
Akaja akacheza fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993 kwa wakati huo likiitwa Caf cup dhidi ya stella Abdijan na kupoteza kwa bao mbili kwa sifuri nyumbani.
Mjadala umeishia hapo.CAF cup haikuwa shirikisho bali African cup winner's cup ndio ilikuwa shirikisho
2) Africa cup winner's cup
Hili ndio ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa, timu ambazo zilizokuwa zinazishiri ni timu ambazo zimetwaa ubingwa wa kombe la FA kwenye mataifa yao. Kama ikitokea aliyebeba kombe la FA ndio huyo aliyebeba na ligi kuu basi aliyecheza nae fainali (runner up) ndio atakayefuzu kucheza hili kombe la African cup winner's cup
3) CAF cup
Haya ni mashindano yaliyoanzishwa na Mnigeria kama kwaajili ya timu zilizoshindwa kufuzu mashindano ya kimataifa ya CAF.
Timu ambazo zinashika nafasi ya pili, na zilizoshindwa kufuzu mashindano ya CAF ( African cup winner's cup na African cup of champions club)
CAF cup ilianzishwa mwaka 1992 na mwaka 2003 ndio ikawa mwisho wa mashindano hayo hivyo yalidumi kwa miaka 12 tu
CAF cup ilikuwa mashindano yasiyo na hadhi kubwa CAF na ndio maana hata mshindi wake hachezi mechi ya ufunguzi wa pazia la msimu mpya wa mashindano ya CAF ( CAF super cup) ila bingwa wa African cup of champions club na bingwa wa African cup winner's cup ndio wanaokutana katika CAF super cup.
SYLVAN , Scars , Chama Baleke , na wanasimba wengine muelewe kuwa CAF cup haikuwa shirikisho bali kombe la shirikisho lilikuwa ni African cup winner's cup View attachment 2599938
Muundo wa Sasa wa mashimdano ya CAF ulianza miaka ya nusu ya pili ya muongo wa 1990.(1990s) hivyo hakuna timu yoyote ya Tanzania imeweza kucheza katika hatua ya nusu fainali ama iwe champions league ama Confederations cup.Story zote tofauti na ukweli tupa kulee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
Kucheza Fainali ya CAF Championship si unakuwa umepitia NUSU FAINALI?Unawalisha maneno hawajawah sema acha uongo
Yanga wanakubali hawajawah fika robo fainal ya CAF championship bali waliishia makundi
Changamoto ipo kwa simba wanasema hivi na wenye mashindano yao CAF wanasema vile
Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
CAF wanasema ndo mara yenu ya kwanza ndo maana wakasema "first time ever"Kucheza Fainali ya CAF Championship si unakuwa umepitia NUSU FAINALI?