Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ndo ujue hizi timu za simba na yanga zina-misukule yaani mtu anabishana na taasis inayoandaa mashindano hii inchi ni ngumu sanaNaona mnabishana na CAF, wakati wao wenyewe wenye kombe lao, wamesema hamjawahi kufikia hatua ya nusu.
Shule ulisomea ujinga?CAF wanasema ndo mara yenu ya kwanza ndo maana wakasema "first time ever"
Mwenye mashindano amesema hamjawahi fika nyie mnasema mmeshawah fika tumsikilize yupi
Simba alicheza fainali ya kombe la washindi 1993 lililodhaminiwa na mwanasiasa wa Nigeria RIP Mashood Abiola.Hilo kombe lilifutwa baada ya kuanzishwa muundo mpya wa mashimdano ya CAFKucheza Fainali ya CAF Championship si unakuwa umepitia NUSU FAINALI?
Malizia kwa kusema kwa hisani ya Akili za Manara ambae huku kwetu aliwahi kusema wenye Akili timamu ni watu wawili tu Baba yake Sunday Manara na Mzee kikweteHajawahi kunusa, kale kakombe ilikua kameandaliwa na mfanyabiashara wa nigeria na kalihusisha mataifa ya weusi tu, waarabu hawakuemo na ilikua kipindi ambacho CAF hawakuandaa mashindano yao ikawa kama kuna mgawanyiko fulani hivi, sema tukubali kauli ya Rage tu kua mashabiki wa simba ni mbumbumbu
Sikuelewi umeandika nini kutokana na comment yangu!Simba alicheza fainali ya kombe la washindi 1993 lililodhaminiwa na mwanasiasa wa Nigeria RIP Mashood Abiola.Hilo kombe lilifutwa baada ya kuanzishwa muundo mpya wa mashimdano ya CAF
We ndo mjinga ambaye unabishana na CAF usinikasirikie mim bali CAF waliosema first time ever unajua maana ya everShule ulisomea ujinga?
Jibu swali nililouliza!
Waliosema ni Official account ya CAF na iko verified acha uzwazwa wao ndo wamesema first time ever unajua maana ya everMalizia kwa kusema kwa hisani ya Akili za Manara ambae huku kwetu aliwahi kusema wenye Akili timamu ni watu wawili tu Baba yake Sunday Manara na Mzee kikwete
Unasema warabu waligomea ilhali team iliyocheza nayo fainali ni hao hao warabu, Manara wakati yuko Simba majigambo ya Simba kufika Fainali ndio ilikuwa nguzo yake ya kuwachekea Yanga ila leo kawaguka nanyie mnageuka
Mngekuwa na Akili kama Manara angekuwa anaulizwa kila alichosema wakati yuko Simba na wakati huu ambao yupo Yanga ila kwakuwa huko wenye Akili timamu ni wale wale wawili hawajawahi kuongezeka mnakenua tu Meno
Maneno ya simba wakati yuko Simba, Simba ndio ina mashibiki wengi,Simba ndio club tajiri zaidi,Simba ndio ina mafanikio mengi katika michuano ya kimataifa,Simba ndio inalipa mishahara mikubwa, Simba ndio team Bora EA na Kati
Lakini leo hii yupo Yanga kila kitu kimekuwa vice versa na nyie wala hamuhoji kwakuwa tu Akili hazimo, kwahiyo ukiwa na Akili timamu huwezi kucheza Ngoma za Manara maana atakufanya uonekane chizi
Wakati yupo Simba alikuwa anawaambia Yanga hawajawahi kufika Robo fainali ya club bingwa ila nyie mkawa mnajitetea kuwa mlifika mwaka 98 kipindi ambacho zinashiriki team 8
Mkachukulia Kwakuwa team 8 ndio zinaingia Robo fainali Kwa mfumo huu wa leo basi nanyie mshafika Robo fainali ila hakuwahi kukubali hoja yenu ila leo hii aliekuwa anawagomea ndio ambae anawarekebisha wengine
Manara ni mtu wa kuropoka na kupika Data kwa faida yake, kushadadia mada ambazo anazianzisha Manara ni uzwazwa kwani anakuingiza kwenye kundi ambalo aliliongelea la wasio na Akili huko Yanga
Ni sawa na mtu aseme Totenham haijawahi kushinda Premier League kitu ambacho ni kweli maana tangu ibadirishwe Jina na kuitwa EPL hajawahi kuchukua kombe ila kabla ya kubadirisha Jina ashachukua
Kwahiyo haya majina ya mashindano hubadirika kutokana na either ufadhiri na sababu mbali mbali, Leo hii tuna NBC badala ya Vodacom premier League ila maana ni ile ile, acheni kufanywa wajinga na mtu Mjinga
Kwa hiyo Manara wa Simba unamkubali lkn Manara wa Yanga unamkataa?Malizia kwa kusema kwa hisani ya Akili za Manara ambae huku kwetu aliwahi kusema wenye Akili timamu ni watu wawili tu Baba yake Sunday Manara na Mzee kikwete
Unasema warabu waligomea ilhali team iliyocheza nayo fainali ni hao hao warabu, Manara wakati yuko Simba majigambo ya Simba kufika Fainali ndio ilikuwa nguzo yake ya kuwachekea Yanga ila leo kawaguka nanyie mnageuka
Mngekuwa na Akili kama Manara angekuwa anaulizwa kila alichosema wakati yuko Simba na wakati huu ambao yupo Yanga ila kwakuwa huko wenye Akili timamu ni wale wale wawili hawajawahi kuongezeka mnakenua tu Meno
Maneno ya simba wakati yuko Simba, Simba ndio ina mashibiki wengi,Simba ndio club tajiri zaidi,Simba ndio ina mafanikio mengi katika michuano ya kimataifa,Simba ndio inalipa mishahara mikubwa, Simba ndio team Bora EA na Kati
Lakini leo hii yupo Yanga kila kitu kimekuwa vice versa na nyie wala hamuhoji kwakuwa tu Akili hazimo, kwahiyo ukiwa na Akili timamu huwezi kucheza Ngoma za Manara maana atakufanya uonekane chizi
Wakati yupo Simba alikuwa anawaambia Yanga hawajawahi kufika Robo fainali ya club bingwa ila nyie mkawa mnajitetea kuwa mlifika mwaka 98 kipindi ambacho zinashiriki team 8
Mkachukulia Kwakuwa team 8 ndio zinaingia Robo fainali Kwa mfumo huu wa leo basi nanyie mshafika Robo fainali ila hakuwahi kukubali hoja yenu ila leo hii aliekuwa anawagomea ndio ambae anawarekebisha wengine
Manara ni mtu wa kuropoka na kupika Data kwa faida yake, kushadadia mada ambazo anazianzisha Manara ni uzwazwa kwani anakuingiza kwenye kundi ambalo aliliongelea la wasio na Akili huko Yanga
Ni sawa na mtu aseme Totenham haijawahi kushinda Premier League kitu ambacho ni kweli maana tangu ibadirishwe Jina na kuitwa EPL hajawahi kuchukua kombe ila kabla ya kubadirisha Jina ashachukua
Kwahiyo haya majina ya mashindano hubadirika kutokana na either ufadhiri na sababu mbali mbali, Leo hii tuna NBC badala ya Vodacom premier League ila maana ni ile ile, acheni kufanywa wajinga na mtu Mjinga
Yaani members wenye akili wakiona hii watashangaa labda nabishana na kicha.a.We ndo mjinga ambaye unabishana na CAF usinikasirikie mim bali CAF waliosema first time ever unajua maana ya ever
Sio kweli kuwa kombe la CAF halikuwa na thamani kubwa.CAF cup haikuwa shirikisho bali African cup winner's cup ndio ilikuwa shirikisho
2) Africa cup winner's cup
Hili ndio ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa, timu ambazo zilizokuwa zinazishiri ni timu ambazo zimetwaa ubingwa wa kombe la FA kwenye mataifa yao. Kama ikitokea aliyebeba kombe la FA ndio huyo aliyebeba na ligi kuu basi aliyecheza nae fainali (runner up) ndio atakayefuzu kucheza hili kombe la African cup winner's cup
3) CAF cup
Haya ni mashindano yaliyoanzishwa na Mnigeria kama kwaajili ya timu zilizoshindwa kufuzu mashindano ya kimataifa ya CAF.
Timu ambazo zinashika nafasi ya pili, na zilizoshindwa kufuzu mashindano ya CAF ( African cup winner's cup na African cup of champions club)
CAF cup ilianzishwa mwaka 1992 na mwaka 2003 ndio ikawa mwisho wa mashindano hayo hivyo yalidumi kwa miaka 12 tu
CAF cup ilikuwa mashindano yasiyo na hadhi kubwa CAF na ndio maana hata mshindi wake hachezi mechi ya ufunguzi wa pazia la msimu mpya wa mashindano ya CAF ( CAF super cup) ila bingwa wa African cup of champions club na bingwa wa African cup winner's cup ndio wanaokutana katika CAF super cup.
SYLVAN , Scars , Chama Baleke , na wanasimba wengine muelewe kuwa CAF cup haikuwa shirikisho bali kombe la shirikisho lilikuwa ni African cup winner's cup View attachment 2599938
Malalamiko yenu mpelekeeni admin wa account ya CAF iliyopo twitter mwambie amekosea alafu na mumpe hizo sababu zenuSio kweli kuwa kombe la CAF halikuwa na thamani kubwa.
Shindano ambalo limepewa na title ya CAF linawezekanaje kukosa thamani?
CAF cup ni mashindano ambayo yalihusisha club zilizoshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya kitaifa.
View attachment 2600362
Nakubaliana na hoja yako kuwa kombe la winners lilikutanisha timu ambazo zimeshinda kombe la shirikisho nchini mwao.
Lakini unaunganisha vipi kuwa winners cup ndio CAF Confederation kwa kigezo cha washiriki wa washindi kombe la shirikisho kucheza winners cup
Ilihali hata runners wa ligi kuu wanakuwa wame qualify kushiriki mashindano ya CAF Cup ambayo ukitazama sheria hiyo ndio inayokuwa applied hadi hivi leo?
Mkuu kwanza elewa thamani na hadhi ya michuano hutofautiana hata kama imeandaliwa na CAF. je nikuulize swali je hadhi ya kombe la CAF confederation cup linafanana na CAF champions league? Ukweli ni kwamba hayalungani hata kama muundaji ni huyo huyo CAF.Sio kweli kuwa kombe la CAF halikuwa na thamani kubwa.
Shindano ambalo limepewa na title ya CAF linawezekanaje kukosa thamani?
CAF cup ni mashindano ambayo yalihusisha club zilizoshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya kitaifa.
View attachment 2600362
Nakubaliana na hoja yako kuwa kombe la winners lilikutanisha timu ambazo zimeshinda kombe la shirikisho nchini mwao.
Lakini unaunganisha vipi kuwa winners cup ndio CAF Confederation kwa kigezo cha washiriki wa washindi kombe la shirikisho kucheza winners cup
Ilihali hata runners wa ligi kuu wanakuwa wame qualify kushiriki mashindano ya CAF Cup ambayo ukitazama sheria hiyo ndio inayokuwa applied hadi hivi leo?
Ukitumia kigezo cha CAF kuwa ni shirikisho na kutafsiri CAF Cup kuwa ni kombe la shirikisho unakosea, kwahyo CAFCL nalo tuliite kombe la shirikisho?? Maana nalo si linaandaliwa na CAF hiyo hiyo ambayo ni shirikisho??, Simba hajawahi kucheza final ya CAF confederation cup bali CAF Cup ambalo baadae liliunganishwa na kombe jingine la African cup, winners cup ndo likazaliwa kombe la CAF confederation cup mwaka 2004Mjinga ni wewe ambaye hujui hata tafsiri na kirefu cha CAF. Inawezekana hata hujui kuwa TFF ni shirikisho ! [emoji16]
Umepiga punch za maanaMkuu kwanza elewa thamani na hadhi ya michuano hutofautiana hata kama imeandaliwa na CAF. je nikuulize swali je hadhi ya kombe la CAF confederation cup linafanana na CAF champions league? Ukweli ni kwamba hayalungani hata kama muundaji ni huyo huyo CAF.
Sasa kwa wakati huo, shindano ambalo lilikuwa na hadhi kubwa African cup of champions club kisha ukitoka hilo linalofuatia ni African cup winner's cup na hii CAF cup ndilo lilikuwa ni la mwisho.
Hoja ya pili umeniuliza kuwa nimeunganisha vipi winners cup ndio CAF confederation cup:
Kwanza tambua kuwa sikutumia kigezo kimoja bali nimetumia vigezo zaidi ya kimoja kuunganisha.
Upande wako wewe unaona kigezo cha timu kushika nafasi ya pili ambapo ndio sawa na CAF cup wanakuwa wamefuzu CAF confederation cup kwahivi sasa, naomba nikupinge kuwa sio kweli
Mshindi wa pili wa ligi wala hafuzu kucheza CAF confederation cup hata kidogo, bali atafuzu kucheza CAF confederation cup endapo tu timu ambayo imechukua kombe la FA atakuwa ndiyo huyo huyo kabeba ubingwa wa ligi kuu.
Kuna association ambazo zinatumia runner up wa ligi na pia kuna association ambazo zinatumia runner up wa FA cup ikitokea mazingira hayo ya bingwa kuwa mmoja wa mashindano ya FA na ligi kuu.
Anayebeba kombe la FA hana condition yeyote ile yeye ni moja kwa moja anafuzu kombe la CAF confederation cup. Hivyo dhana yako ya kuhisi kuwa washindi wa pili ndio wanaocheza CAF confederation cup uanze kuifuta kichwani mwako, fuatilia utaona association zote za CAF zina kombe la FA na ndio washiriki wa CAF confederation cup na kwa wakati huo ilikuwa ndio washiriki wa African cup winner's cup. Ukija Tanzania kwasasa tunaita Azam Federation cup, ukienda Misri inaitwa Egypt FA cup, South Africa wanaita Nedbank cup, n.k kila association ina FA cup ambapo lengo la mashindano haya kutoa mwakilishi wa Caf confederation cup kwasasa ila kwa zamani walikuwa wanaenda kushiriki Africa cup winner's cup.
Kigezo cha mwisho ni mashindano ya ufunguzi wa pazia ya mashindano ya CAF ngazi ya vilabu ambayo yaitwa CAF super cup. Haya ni mashindano kwasasa yanahusisha bingwa wa champions league vs bingwa wa confederation cup ila kwa kipindi hicho walihusisha bingwa wa African cup of champions club vs bingwa wa African cup winner's cup.
UnyamaaaaaUkitumia kigezo cha CAF kuwa ni shirikisho na kutafsiri CAF Cup kuwa ni kombe la shirikisho unakosea, kwahyo CAFCL nalo tuliite kombe la shirikisho?? Maana nalo si linaandaliwa na CAF hiyo hiyo ambayo ni shirikisho??, Simba hajawahi kucheza final ya CAF confederation cup bali CAF Cup ambalo baadae liliunganishwa na kombe jingine la African cup, winners cup ndo likazaliwa kombe la CAF confederation cup mwaka 2004
Mfano, mchanganyiko wa maji na Matunda ya kusaga tunaita juice, sasa swali linakuja je ukinywa maji pekee kabla hayajachanganywa na Matunda utasema umekunywa juice?? Like wise Kwa Simba wao walifika final ya CAF Cup ambayo baadae ndo ikaunganishwa na African cup, winners cup ikazaliwa CAF confederation cup mwaka 2004
Kwahiyo simply tunaweza kusema kwamba Simba walicheza final ya CAF Cup siyo CAF confederation cup kwasababu huo mwaka 1993, kombe la Shirikisho lilikuwa bado halijazaliwa, lenyewe lilizaliwa mwaka 2004 kutokana na muunganiko wa CAF Cup na African cup winners cup
Outcrop Rock(Mwamba kipara)
Ready to be corrected
Wameshatumia kiasi gani?lakini uto kwa pesa walizotumia hata hili la kuingia nusu angalau litawapoza japo bado ni hasara
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺAliyekwambia CAF cup ndio yalikuwa shirikisho ni nani? Kombe la shirikisho lilikuwa ni African cup winner's cup. Fatulia kwa kipindi hiko kati ya mshindi wa CAF cup na mshindi wa African cup winner's cup je ni yupi anayecheza CAF super cup? Mashindano ya CAF super cup huusisha bingwa wa kombe la shirikisho CAF vs bingwa wa klabu bingwa. View attachment 2599921
Wanajidefend mapemaKelele zote hizi za Simba kuwahi kuingia Nusu Fainal, kisa Yanga ana Uhakika wa kuingia Nusu Fainal huko Shirikisho....!
Yanga anacheza Fainali Msimu huu, nasubiri ...
Acheni kuongozwa na Mjinga maana anawafanya wote muwe wajinga, hakuna aliekataa kuwa CAF ndio wamesema hivoWaliosema ni Official account ya CAF na iko verified acha uzwazwa wao ndo wamesema first time ever unajua maana ya ever