CAF cup haikuwa shirikisho bali African cup winner's cup ndio ilikuwa shirikisho
2) Africa cup winner's cup
Hili ndio ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa, timu ambazo zilizokuwa zinazishiri ni timu ambazo zimetwaa ubingwa wa kombe la FA kwenye mataifa yao. Kama ikitokea aliyebeba kombe la FA ndio huyo aliyebeba na ligi kuu basi aliyecheza nae fainali (runner up) ndio atakayefuzu kucheza hili kombe la African cup winner's cup
3) CAF cup
Haya ni mashindano yaliyoanzishwa na Mnigeria kama kwaajili ya timu zilizoshindwa kufuzu mashindano ya kimataifa ya CAF.
Timu ambazo zinashika nafasi ya pili, na zilizoshindwa kufuzu mashindano ya CAF ( African cup winner's cup na African cup of champions club)
CAF cup ilianzishwa mwaka 1992 na mwaka 2003 ndio ikawa mwisho wa mashindano hayo hivyo yalidumi kwa miaka 12 tu
CAF cup ilikuwa mashindano yasiyo na hadhi kubwa CAF na ndio maana hata mshindi wake hachezi mechi ya ufunguzi wa pazia la msimu mpya wa mashindano ya CAF ( CAF super cup) ila bingwa wa African cup of champions club na bingwa wa African cup winner's cup ndio wanaokutana katika CAF super cup.
SYLVAN ,
Scars ,
Chama Baleke , na wanasimba wengine muelewe kuwa CAF cup haikuwa shirikisho bali kombe la shirikisho lilikuwa ni African cup winner's cup
View attachment 2599938