covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo.
Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao.
Mpira ulikuwa unacheleweshwa makusudi kwa kurushwa mipira miwili miwili uwanjani then muda wa maongezi unaongeza dakika 6 hile haikuwa haki..
ikiwa caf wanataka Africa iwe mfano basi lazima kusiwe na double standards kwa mchezo wa jana CAF wasipowaadhibu hawa waarabu basi tutegemee fujo kubwa zaidi na pengine zikaleta madhara makubwa uwanjani ktk mechi zijazo.