NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla,
NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF.
Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini kwa timu kama Simba SC, Yanga SC ama Rivers United FC nk.
Ni ngumu sana kuleta malalamiko kupitia uongozi wao maana zinaonekana ni timu changa sana katika michuano hii.
Hivyo basi goli la ugenini limemtoa Mamelodi na ni moja kati ya timu kubwa Africa lakini katoa mchozi kwa hiyo kaonja utamu uchungu wa goli la ugenini.
Endapo Al Ahly nae akipigwa goli goli moja na Wydad Casablanca basi Alahly atakuwa amekosa kombe kwa kuwa Waydad alifunga goli moja nyumbani kwa Al Ahly jumla ya magoli itakuwa mbilimbili na Al Ahly atakosa kombe na kuonja uchungu wa goli la ugenini.
Hivyo basi, Mamelodi Kaonja uchungu na Al Ahly akionja uchungu wa goli la ugenini kwa kuwa ni timu Giants lazima washikamane (waweke nguvu CAF) kutetea hoja ya kufuta kanuni ya goli la ugenini na hilo litawezekana endapo Al Ahly ataonja uchungu wa goli la ugenini.
Nawasilisha hoja.