CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

➡️ CAF imewataarifu TFF kuwa mechi ya Fainali ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex Zanzibar

➡️ CAF imeeleza kuwa maamuzi hayo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa mara kwa mara wa hali ya uwanja wa Benjamin Mkapa katika kipindi cha mvua

View attachment 3334471
Umeitoa facebook unakuja kutamba nayo uku?
 
Wakuu!

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeliagiza shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) kuhamishia maandalizi ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho mnamo 25/5/2025 baina ya Simba SC vs RS Berkane kupigwa kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.

nimecheka kama mazuri hiyo ndo serikali ya CCM wakati mnapiga hatua 7 mbele wenyewe wanawarudisheni 5 nyuma
 
serikali iingilie kati na kuitaarifu Caf umuhimu na usalama wa hii mechi kuchezwa dar. Ikibidi waipeleke mbele hata siku kudhaa kama wao caf wanaona muda wa ukaguzi hautoshi.
 
Wakuu!

CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.

Duh!...
 
serikali iingilie kati na kuitaarifu Caf umuhimu na usalama wa hii mechi kuchezwa dar. Ikibidi waipeleke mbele hata siku kudhaa kama wao caf wanaona muda wa ukaguzi hautoshi.
We tulia mkuu hii mechi inachezwa taifa...Kuna watu wanafikiri Simba inatania mwaka huu
 
Umeshindwa kujibu hoja bila matusi? Sote hatuwezi kushabikia Simba. Kapuku mwenyewe.
Hoja Gani ewe kapuku muwaza uchawi ? Yani Mimi na IQ yangu above level nijibu hoja ya uchawi sijui bahari..narudia toka magetoni ukatafute pesa usiwe mchawi.
 
Hoja Gani ewe kapuku muwaza uchawi ? Yani Mimi na IQ yangu above level nijibu hoja ya uchawi sijui bahari..narudia toka magetoni ukatafute pesa usiwe mchawi.
Sawa tajiri
 
This is very shocking news if its trully coming from a credible source....!!
 
Taarifa za uzushi hizi, CAF siku zote wakiona kiwanja ulichochagua hakina vigezo wanakuambia uchague kiwanja kingine ili kucheza mechi yako. Iweje leo iwe tofauti na kuamuru mechi ichezwe sehemu fulani. Mm nakataa kabisa na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili.
Hawakupi nafasi ya kuchagua ila unapo peleka majina ya viwanja utakavyo chezea lazima majina yawe mawili yaani viwanja viwili ili ikitokea sintofahamu unachezea mmoja katika hivyo ulivyo chagua

Mangungu alishawahi kulitokea ufafanuzi swala ilo.
 
Hizi ni porojo tu kama hakuna source inayoeleweka kupost hizi habari
 
Dah nilishapanga kwenda Taifa kucheki hii game naona uchawi sasa.

Au Yanga hawa wanataka tiketi siziuzike.
hizo ni za waarabu hao wamoroko na unajua Morocco walivyo kua na USHAWISHI sana huko CAF , pia wanashirikiana na timu Moja hivi wanapoishi vyura...fitna zilianza na ishu ya mpanzu ..leo wamekuja na part 2 ya uwanja wa kucheza fainali kuhamishwa na bahati nzuri uongozi umeshazitambua hizo fitna mapema sana ..pamoja na fitna zote gemu itachezwa ilipokusudiwa kucheza ambapo ni taifa na inabeba kombe. Tunza hii risiti.
 
Wakuu!

CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.

Uwanja usioisha matengenezo
 
Back
Top Bottom