Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Na mwezake mwanaa faGarson Msigwa uliwadanganya watanzania kwamba uwanja umekarabatiwa?
Na mwezake mwanaa faGarson Msigwa uliwadanganya watanzania kwamba uwanja umekarabatiwa?
Kumbuka kwamba hii ni mechi ya fainali kombe uwanjani. CAF wanachosema wanahofia mambo mawili; kwanza ni hali ya hewa isiyotabirika kwa sasa ya jiji la Dar es Salaam, ambapo mvua zinanyesha nyesha bila utaratibu na pili ni kuhusu kuhofia yale yaliyotokea katika mechidhidi ya Al Masry, uwanja ulipojaa maji kwenye Pitch, kiasi cha kupigwa deki, yasije yakajitokeza tena na kuharibu ladha ya mechi ya fainali ambayo itakuwa ikitazamwa na dunia nzima. Lakini nyongeza ya hayo CAF imesema kwa kuwa marekebisho ya pitch ya kuchezea bado yanaendelea hadi sasa, wameona ni vizuri zaidi wakaziachia mamlaka husika uwanja huo uweze kurekebishwa vizuri zaidi na kwa muda wa kutosha, ili uje kutumika kwenye fainali za michuano ya CHAN zinazotarajiwa kuanza mwezi Agosti.Taarifa za uzushi hizi, CAF siku zote wakiona kiwanja ulichochagua hakina vigezo wanakuambia uchague kiwanja kingine ili kucheza mechi yako. Iweje leo iwe tofauti na kuamuru mechi ichezwe sehemu fulani. Mm nakataa kabisa na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili.
wale mbuziSasa icakuaje? Kwa Mkapa
Nchi moja hii mnaogopa viwanja?Hii ni hujuma ya mwarabu
Kuna kiongozi 1 wa simba na baadhi ya wachambuzi walioko kwenye payroll mmoja wapo ni Juma Ayo, wanalamika kuhusu viungilio vya mashabiki waliokata tiketi, najiuliza mbona derby ya kariakoo mpaka leo watu hawajui hatima ya tiketi zao na wamemute sikuona wakilalamika 🤔 ❓️ 🤔 😀MUNGU fundi
MUNGU fundi
MUNGU fundi
BAADA ya kufanya uhaini na kubebwa na BODI ya ligi na mwisho kugomea mechi ya derby tar 8
Sasa Simba UMEANZA kulalamikia UWANJA hauna usalama
Hahahahaaaa shame n u magori usalama WA amani unaujua weweee
Unahisi wale n TFF kama mlivyowachezeaaaa
Vipi na rushwa hamjaiona kwenye final
Hiki kikombe lazima mkinywe hakuna jinsiiii
Pumbavuuuu waleeee Mungu KAWAPIGAA kitu kizitoooKuna kiongozi 1 wa simba na baadhi ya wachambuzi walioko kwenye payroll mmoja wapo ni Juma Ayo, wanalamika kuhusu viungilio vya mashabiki waliokata tiketi, najiuliza mbona derby ya kariakoo mpaka leo watu hawajui hatima ya tiketi zao na wamemute sikuona wakilalamika 🤔 ❓️ 🤔 😀
KabisaaMi nilivyomuona yule jamaa wa caf kachimba kiudongo anakipima na ruler nikasema hapa hatoki mtu
Ule sio uwanja Bora meja jenerali isamwihyo kuliko kwa Mkapa
Kwa hiyo wale waturuki wanaorekebisha pitch ya mkapa kwa kutumia simu, wametupiga?Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.
Mnapigwa na watanzania wenzenu. Waturuki mnawonea tu. Haiwezekani mamia ya mabilioni yayeyuke halafu msemaji anakuja kusema hayakuhusisha marekebisho ya PICHI.Kwa hiyo wale waturuki wanaorekebisha pitch ya mkapa kwa kutumia simu, wametupiga?
Hivi ni Bilioni ngapi walivuta kwa kupiga tu picha zile nyasi?