CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

Wa kuwajibishwa ni wengi. Timu haiwezi kupoteza uenyeji wa fainali ya CAF kizembezembe. Ninaamini ikifika Jumatatu hili litakuwa limetenguliwa.
Unavyoongea utafikiri CAF ni Bodi ya ligi 😂😂 MAJAYANTI WANAOGOPA UWANJA WALIOUCHAGUA WAO.
WAPAKWA MAFUTA TULIE KITU KIKAPENYE SHWAAA KWENYE FUTA
 
KWENYE OFFICIAL WEBSITE YA CAF WAMEANDIKA MECHI YA SECOND LEAGUE FINAL ITACHEZWA DAR ES SALAAAM BENJAMINI MKAPA.
Gq_adY-XAAEO4uX.jpeg
 
Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Ilibidi itoke sababu simba walishaanza kuuza tiketi za uwanja wa mkapa ilihali ulikua umefungiwa
 
Ukisoma vizuri barua ya CAF utagundua Simba na TFF waliomba mechi ihamishwe kutoka Aman kupelekwa kwa Mkapa. Naona walieleza serikali ya Tanzania imefanya juhudi kubwa kukarabati uwanja huo wa Mkapa ili kuhakikisha fainali ya inapigwa hapo.

Tatizo viongozi wa Tanzania siyo wawazi, hii taarifa ya fainali kuchezwa Aman ni ya ghafla kwa mashabiki lakini viongozi wanajua toka mwanzo kuwa fainali haitachezwa kwa Mkapa.
 
Goli la mama safari hii nasikia inaweza kuwa milioni 100 wakati huo huo kiwanja cha taifa ni kibovu.

Viongozi wa CCM nani aliyewaroga.
 
Waonyesheni wapendwa WENU majibu ya CAF msiwadanganye

Mwende mbinguniiiiii
 

Attachments

  • Screenshot_20250519-121348.jpg
    Screenshot_20250519-121348.jpg
    271.9 KB · Views: 22
Sorry jinsia yako please.

KAZI ni kipimo cha utu
 
Nimesoma majibu ya CAF kwa Simba BAADA ya KUOMBA uchexwe kwa mkapa na kuandika upuuzi kadhaa

CAF wamejibu kwa adabu na HESHIMA
1;
Nchezo UTACHEZWA new AMAN kama ilivyopangwa awali

2.kama chama hatuwezi kuwa na MAAMUZI mawili TOFAUTI

3.hiiii ikanifurahisha SANAAA UWANJA WA amani umequalify kuchezewa mechi za CAF

4.hata hivyo lazima MJUE znz n Moja ya part ya Tanzaniaaa

Hivyo basi tuheshimu tuwahrshimu na kuthamani

MWISHO wamewaomba wawambie mashabiki wao wajiandae na mechi

New amani stadium

Imeisha hiiiioooo
 

Attachments

  • Screenshot_20250519-121348.jpg
    Screenshot_20250519-121348.jpg
    271.9 KB · Views: 18
Baadae ya CAF kuwajibu SIMBA SC

HAHA BERKANE WAMETOA TAARIFA IWE MVUA IWE JUA WASINGECHEZA AKWA MKAPA

KWA WALICHOKIONA MECHI YA AL MASRY KAMWE WASINGETUA HAPO DAR

HATA HIVYO WAMEUSIFIA SANA UWANJA WA NEW AMAN STADIUM NA WAMESEMA WANAFURAHIA KWENDA ZNZ KISIWA CHA AMANI

MMMH NKASEMA WALIKUWA WANAFWATILIA DERBY YA TAR 8 NN MAANA BODI ILIJICHANGANYA HAKUNA USALAMA MOJA YA SABABU KUHAIRISHA WOII

KARIBUNI SANA KISIWA CHA MARASHI YA KARAFUUUUUUU
KARIBUNI MPATE UROJO

MPATE VYAKULA MANTASHAL HAMJAWAHI KULA

HII NDIO

ZNZ
 
Baadae ya CAF kuwajibu SIMBA SC
HAHA BERKANE WAMETOA TAARIFA IWE MVUA IWE JUA WASINGECHEZA AKWA MKAPA
KWA WALICHOKIONA MECHI YA AL MASRY KAMWE WASINGETUA HAPO DAR
HATA HIVYO WAMEUSIFIA SANA UWANJA WA NEW AMAN STADIUM NA WAMESEMA WANAFURAHIA KWENDA ZNZ KISIWA CHA AMANI
MMMH NKASEMA WALIKUWA WANAFWATILIA DERBY YA TAR 8 NN MAANA BODI ILIJICHANGANYA HAKUNA USALAMA MOJA YA SABABU KUHAIRISHA WOII
KARIBUNI SANA KISIWA CHA MARASHI YA KARAFUUUUUUU
KARIBUNI MPATE UROJO
MPATE VYAKULA MANTASHAL HAMJAWAHI KULA
HII NDIO
ZNZ
Mkuu haujachelewa, jifunze kuandika pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima
 
Hukoo hali so shwari wapendwa ENDELEEN na maombi YENU kama mlivyotuambia

Mpaka sasa Moshi mweusi unaendelea kurindima UWANJA WA mkapa saa sijui hatoki mtu itahamia new AMAN STADIUM
 

Attachments

  • Screenshot_20250519-144009.jpg
    Screenshot_20250519-144009.jpg
    405.9 KB · Views: 21
Ameen ameeen ameeen
 

Attachments

  • Screenshot_20250519-144514.jpg
    Screenshot_20250519-144514.jpg
    202.8 KB · Views: 17
Raha ya MILELE uwapee EE BWANA
MWANGA WA MILELE uwaangazie

Wapumzike znz kwa Amani

Ameen
Ameen
Ameen
 
Back
Top Bottom