Zanzibar si sehemu ya Muungano? Bado ni nyumbani, tusianze kutafuta sababu.Usikute watanzania wamewekeana figisu ili mechi iende Zanzibar maana hapa kwetu wako watalaam wa kiarabu kweli kweli
Nitajie option ya kiwanja kingine kizuri kwa Tz?Labda mpeleke mechi kwa Kagame au Museveni.Taarifa za uzushi hizi, CAF siku zote wakiona kiwanja ulichochagua hakina vigezo wanakuambia uchague kiwanja kingine ili kucheza mechi yako. Iweje leo iwe tofauti na kuamuru mechi ichezwe sehemu fulani. Mm nakataa kabisa na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili.
Ni kweli mkuu, amani ilikuwa option namba mbili ndio maana caf wamewaambia straight kuwa waende znzKwa wale msio fahamu, Timu zote zinazo shiriki mashindano ya CAF ngazi ya vilabu kanuni za mashindano zinataka uwe na viwanja viwili utakavyo vitumia kama uwanja wako wa nyumbani.
Viwanja ivyo vyote lazima view vimekaguliwa na CAF na kupewa Certificate.
Ndio maana CAF walipo ukagua uwanja wa Amani mara ya mwisho walipendekeza uwanja uo usitumiwe mara kwa mara ili ku ufanya ubora wake uwe katika Viwango.
Hali iyo ikapelekea mashindano ya muungano yaende Pemba maana kama wange lazimisha uwanja wa Amani ya chezwe mashindano ya muungano na uwanja unge haribika, saaizi Simba wange kua wanatafuta Uwanja wa kucheza fainal nje ya Nchi maana pale Azam complex wana paogopa.
Simba timu kubwa sio kama nyie Hatuchezi fc!Dah! Watu walishafukia mbuzi wao kitambo! Inakuwaje wakafukuliwe na kuhamishiwa Zanzibar? Na muda wenyewe wa kufanya hivyo hata hautoshi!
Hapa dawa pekee iliyobaki ni kususia tu kucheza hiyo mechi yao. Sisi simba hatutaki kabisa kuonewa na mtu.
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa Gsm.Kwa wale msio fahamu, Timu zote zinazo shiriki mashindano ya CAF ngazi ya vilabu kanuni za mashindano zinataka uwe na viwanja viwili utakavyo vitumia kama uwanja wako wa nyumbani.
Viwanja ivyo vyote lazima view vimekaguliwa na CAF na kupewa Certificate.
Ndio maana CAF walipo ukagua uwanja wa Amani mara ya mwisho walipendekeza uwanja uo usitumiwe mara kwa mara ili ku ufanya ubora wake uwe katika Viwango.
Hali iyo ikapelekea mashindano ya muungano yaende Pemba maana kama wange lazimisha uwanja wa Amani ya chezwe mashindano ya muungano na uwanja unge haribika, saaizi Simba wange kua wanatafuta Uwanja wa kucheza fainal nje ya Nchi maana pale Azam complex wana paogopa.
SafiWakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa Gsm.Kumbuka kwamba hii ni mechi ya fainali kombe uwanjani. CAF wanachosema wanahofia mambo mawili; kwanza ni hali ya hewa isiyotabirika kwa sasa ya jiji la Dar es Salaam, ambapo mvua zinanyesha nyesha bila utaratibu na pili ni kuhusu kuhofia yale yaliyotokea katika mechidhidi ya Al Masry, uwanja ulipojaa maji kwenye Pitch, kiasi cha kupigwa deki, yasije yakajitokeza tena na kuharibu ladha ya mechi ya fainali ambayo itakuwa ikitazamwa na dunia nzima. Lakini nyongeza ya hayo CAF imesema kwa kuwa marekebisho ya pitch ya kuchezea bado yanaendelea hadi sasa, wameona ni vizuri zaidi wakaziachia mamlaka husika uwanja huo uweze kurekebishwa vizuri zaidi na kwa muda wa kutosha, ili uje kutumika kwenye fainali za michuano ya CHAN zinazotarajiwa kuanza mwezi Agosti.
Hatuchezi fc A.k.a Mke Mkubwa wa GsmMUNGU fundi
MUNGU fundi
MUNGU fundi
BAADA ya kufanya uhaini na kubebwa na BODI ya ligi na mwisho kugomea mechi ya derby tar 8
Sasa Simba UMEANZA kulalamikia UWANJA hauna usalama
Hahahahaaaa shame n u magori usalama WA amani unaujua weweee
Unahisi wale n TFF kama mlivyowachezeaaaa
Vipi na rushwa hamjaiona kwenye final
Hiki kikombe lazima mkinywe hakuna jinsiiii
Pole sana,nayaona machungu uliyonayo moyoni mwako.Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Yaani uwanja wa 15000 na 60000 wapi na wapiZanzibar si sehemu ya Muungano? Bado ni nyumbani, tusianze kutafuta sababu.
Wa kuwajibishwa ni wengi. Timu haiwezi kupoteza uenyeji wa fainali ya CAF kizembezembe. Ninaamini ikifika Jumatatu hili litakuwa limetenguliwa.Aibu sana.
Mashabiki wa bara wa Simba ambao ni wengi wananyimwa life time chance ya kuona timu yao ikibeba kombe sababu tu ya ubinafsi wa waliopewa dhamana kusimamia uwanja