Simba haina ujinga wa Hatuchezi, hiyo ni kwa wajinga wa huko kasoro wawili. Inachotakiwa ni kutoa maoni, na sio kuigomea mamlaka yako. Mamlaka ikikomaa, fuata inachotaka, sio kugomaMUNGU fundi
MUNGU fundi
MUNGU fundi
BAADA ya kufanya uhaini na kubebwa na BODI ya ligi na mwisho kugomea mechi ya derby tar 8
Sasa Simba UMEANZA kulalamikia UWANJA hauna usalama
Hahahahaaaa shame n u magori usalama WA amani unaujua weweee
Unahisi wale n TFF kama mlivyowachezeaaaa
Vipi na rushwa hamjaiona kwenye final
Hiki kikombe lazima mkinywe hakuna jinsiiii
HILI TUNABEBA kumbe TUNABEBWA na mbuzi wa kafara wanaochimbiwa kwenye pitch.Tupo busy na final
Kuna mtu aliwahi kuingilia kazi yako inayokupa kipato?? Wenzio ndo kazi waliochagua kama wewe ulivyochagua kazi yako.Mimi ni mwana Simba lakini huwa nakerwa na baadhi ya mashabiki wa Simba kuwa machawa wa serikali ya CCM.Sasa nawaomba CAF wafunge ule uwanja na kombe tulikose ni aibuu kuendekeza kujaza serikalini watu vilaza wakati wasomi wamejaa mtaani.
Atatoa tuStella atoi 😂
Usikute watanzania wamewekeana figisu ili mechi iende Zanzibar maana hapa kwetu wako watalaam wa kiarabu kweli kweli📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya RS Berkane ya Morocco imethibitisha kuwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kuwa mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu wa 2024-25 kati yake na Simba Sc ya Tanzania utachezwa kwenye Uwanja wa Aman kisiwani Zanzibar.
“Uwanja wa Kimataifa wa Aman mjini Zanzibar utakuwa mwenyeji wa mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu huu kati ya timu ya Orange na mwenyeji wake, Simba SC ya Tanzania, saa 12:00 jioni kwa saa za huko 2:00 usiku kwa saa za Morocco).” —imesema taarifa rasmi ya RS Berkane.
Berkane wapo mbele ya muda? Au Mmiliki wake, Fouzi Lekjaani ambaye ni Makamu wa Rais wa CAF na ni Rais wa shirikisho la mpira Morocco na anayehusika kwenye maamuzi huko CAF ‘friji lake haligandishi’?