CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

Umeitoa facebook unakuja kutamba nayo uku?
 
nimecheka kama mazuri hiyo ndo serikali ya CCM wakati mnapiga hatua 7 mbele wenyewe wanawarudisheni 5 nyuma
 
serikali iingilie kati na kuitaarifu Caf umuhimu na usalama wa hii mechi kuchezwa dar. Ikibidi waipeleke mbele hata siku kudhaa kama wao caf wanaona muda wa ukaguzi hautoshi.
 
Duh!...
 
serikali iingilie kati na kuitaarifu Caf umuhimu na usalama wa hii mechi kuchezwa dar. Ikibidi waipeleke mbele hata siku kudhaa kama wao caf wanaona muda wa ukaguzi hautoshi.
We tulia mkuu hii mechi inachezwa taifa...Kuna watu wanafikiri Simba inatania mwaka huu
 
Umeshindwa kujibu hoja bila matusi? Sote hatuwezi kushabikia Simba. Kapuku mwenyewe.
Hoja Gani ewe kapuku muwaza uchawi ? Yani Mimi na IQ yangu above level nijibu hoja ya uchawi sijui bahari..narudia toka magetoni ukatafute pesa usiwe mchawi.
 
Hoja Gani ewe kapuku muwaza uchawi ? Yani Mimi na IQ yangu above level nijibu hoja ya uchawi sijui bahari..narudia toka magetoni ukatafute pesa usiwe mchawi.
Sawa tajiri
 
This is very shocking news if its trully coming from a credible source....!!
 
Hawakupi nafasi ya kuchagua ila unapo peleka majina ya viwanja utakavyo chezea lazima majina yawe mawili yaani viwanja viwili ili ikitokea sintofahamu unachezea mmoja katika hivyo ulivyo chagua

Mangungu alishawahi kulitokea ufafanuzi swala ilo.
 
Hizi ni porojo tu kama hakuna source inayoeleweka kupost hizi habari
 
Dah nilishapanga kwenda Taifa kucheki hii game naona uchawi sasa.

Au Yanga hawa wanataka tiketi siziuzike.
hizo ni za waarabu hao wamoroko na unajua Morocco walivyo kua na USHAWISHI sana huko CAF , pia wanashirikiana na timu Moja hivi wanapoishi vyura...fitna zilianza na ishu ya mpanzu ..leo wamekuja na part 2 ya uwanja wa kucheza fainali kuhamishwa na bahati nzuri uongozi umeshazitambua hizo fitna mapema sana ..pamoja na fitna zote gemu itachezwa ilipokusudiwa kucheza ambapo ni taifa na inabeba kombe. Tunza hii risiti.
 
Uwanja usioisha matengenezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…