CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

Mambo yenu aya
Screenshot_20230507-215455.jpg
 
Utopolo hawajawahi kushinda kwa haki hata wacheze na mbuni fc wao ni bahasha,kuwamwagia watu maji ya chooni,kuwawekea sumu na kuiba pesa za watu huku wakijinasibisha ni matajiri mbele ya umma...

Rudisheni fedha za watu mlizoiba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] nyie watu ni wa kuhurumia tu
 
Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2.

1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000

2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa ($5,200) na harufu mbaya inayosemekana kuwa na sumu, dola 25,000.

Aidha Yanga kwakuwa kwao kwenye nusu fainali ya CAFCC wanapaswa kuhakikisha usalama wa timu pinzani (Marumo Gallants) wakati wa mchezo kwakuwa kiwanja cha Benjamin Mkapa kimekuwa kikiripotiwa kwa matukio ya namna hii.

BIN KAZUMARI MTIPA ( The voice of the voiceless)
Huyo Bi Kazumari wako anafahamika fika ni 🚮 tu.
 
Unaona hapo wameiita ni "ritual", unajua maana yake? Tamaduni zote duniani zina "rituals" zake. Hata Rais wa nchi akiwa anaapishwa kunakuwaga na "rituals" zake. Walichokosea Simba ni kufanya "ritual" ambayo ni "hazardous".

Huwa sielewi kwa nini hili suala bado mnalitumia kama kebehi.
 
Kama ukitaka kujua hizo ni habari fake tembelea page za caf kama utaona huo upumbavu
 
Back
Top Bottom