CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

[emoji23][emoji23] nyie watu ni wa kuhurumia tu
 
Huyo Bi Kazumari wako anafahamika fika ni 🚮 tu.
 
Unaona hapo wameiita ni "ritual", unajua maana yake? Tamaduni zote duniani zina "rituals" zake. Hata Rais wa nchi akiwa anaapishwa kunakuwaga na "rituals" zake. Walichokosea Simba ni kufanya "ritual" ambayo ni "hazardous".

Huwa sielewi kwa nini hili suala bado mnalitumia kama kebehi.
 
Kama ukitaka kujua hizo ni habari fake tembelea page za caf kama utaona huo upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…