CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Hayo ni kweliiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiko inakoelekea na imeanza safari.
Vipi wenzetu mmeanza safari wa wapii ?
Hadi mthubutu kukebehi mwendo wa Simba.
Wakati mnakwepa kupita kwenye tunnel ya uwanja wa taifa wenzenu wanapita humo.
Wakati mnakwepa kupanda basi lenu kuelekea taifa wenzenu wanapanda basi lao kuelekea taifa.
Wakati mnapita njia ya upande wa pili kuelekea taifa wenzenu wanapita barabara sahihi kuelekea uwanja wa taifa.
Hivi ni nani MBUMBUMBU hapo ?
Hakika wahenga walilonga
" Usimwamshe aliyelala "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mida fulani lazima kuwavimbia hawa yanga hata ktk fantasy.
 
Kweli Ismai Aden Lage alivyo waita watu wa Simba Mbumbumbu Hakukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unabisha?
Umeviona vitabu vya mahesabu vya Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…