titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Wapi Raja casablanca,enyimba etc,hizi takwimu zitakuwa zimetolewa na haji manara si bureWapi TP mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Raja casablanca,enyimba etc,hizi takwimu zitakuwa zimetolewa na haji manara si bureWapi TP mazembe
Tayar uneshathibitisha umbumbu wako tayar, klabu ya tano kwa utajiri hata kiwanja Cha mazoezi hakuna, basi Kama ni kwel vilabu vya afrika vina Hali mbaya Sana kiuchumi aisee, kwa mwendo huu mpira wa Africa hautokaa ukue hata siku moja, ndio maana Hadi kwenye kombe la dunia Kila siku tunawasindikiza wazunguMimi sijaviona,Walioviona wamesema hivyo na wewe ukibisha tafuta uvione.
Mkuu utajiri wa Mo Dewji unazidi trilion 3 za Kitanzania.Itakuwa wamechanganya na utajiri wa MO dewji
Mzigo umemwagwa hivi karibuni na unatengeneza faida.Simba hatujafika huko.. na hatutafika leo ,wenzetu wamekuwa kwenye ubora na uwekezaji kitambo.
Simbaa!!This is....
Kwanini unabisha?
Umeviona vitabu vya mahesabu vya Simba?
Itakuwa wamechanganya na utajiri wa MO dewji
Simba Sasa pia ni kampuni Sasa watu wanabisha Nini kwa hizi takwimu ? Kama ingekua in thamani ya utajiri was bilioni 100 tungekataa,ila kwa pesa alizoweka MO ukijumlisha thamani ya majengo mawili pale msimbazi,uwanja wanaojenga Bunju unakadiriwa kuwa una thamani ya kiasi gani mbona list ipo mle mle tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Paper zinasema ivyo labda uhalisia ukatae MO amewekeza kwa hisa za Bilioni 20+,hisa zengine zinauzwa kwa wanachama ukipiga calculation hizo takwimu zipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀Simba inaizidi mamelody Sandown [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app