Mie mshabiki wa simba lakini sishabikii upuuzi. Huo utajiri wa simba upon kwenye nini?. Simba INA kitega uchumi kipi zaidi ya lile jengo LA kariakoo ambalo thamani yake haizidi mil 500?. Tuache ushabiki maandazi. Angalau Singida United wanamilili Mashamba ya Alizeti. Kwa umri wa simba, ilipaswa imiliki mabasi ya mwendokasi, boti za kwenda zenji wanda vya vifaa vya michezo, Msimbazi centre, mabasi ya mikoani mfano Simba luxury coach, chuo kikuu cha michezo( Simba University of Sports and Games),_Shule na hospitali. Simba international school and Simba Medical centre.