CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Mashabiki wa Simba nao wamekubali dhiaka kutika CAF. Yaani Simba masikini kwa mashabiki Ila tajiri kwa CAF !!! Masimba ni mabumbumbu
 
Tayar uneshathibitisha umbumbu wako tayar, klabu ya tano kwa utajiri hata kiwanja Cha mazoezi hakuna, basi Kama ni kwel vilabu vya afrika vina Hali mbaya Sana kiuchumi aisee, kwa mwendo huu mpira wa Africa hautokaa ukue hata siku moja, ndio maana Hadi kwenye kombe la dunia Kila siku tunawasindikiza wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Me sikubali wala sikatai,wewe unabisha tuu kwa maneno hata balance sheet zao huzijui na wala hujui wametumia vigezo gani?!
 
Utajiri wa club haupatikani vitabuni wala kwenye benki akaunti. Utajiri ni vitu vinavyoonekana. Miradi, miundo mbinu na huduma
Mheshimiwa hii ni karne ya 21 2019,utajiri sio vitu vya kuhamishika,jina tuu linatosha yani tshirt tu ikiwekwa nembo ya Simba imeshaongezewa thamani club inachukua chao,kuna njia nyingi club zinatengeneza pesa sio tuu kwenye vitu unavyofikiria.
 
Kwani hiyo list ipo wapi?
Google website ya CAF au publication (official) yeyote ya CAF uiweke hapa hiyo list. Siyo unaamini magazeti ya kufungia vitumbua.
Mimi najua Yanga ina hela kuliko Simba.
Nieleweshe basi na unitupie data za simba na yanga za utajiri wao maana me sielewi na magazeti yana ushabiki pia.
 
Nieleweshe basi na unitupie data za simba na yanga za utajiri wao maana me sielewi na magazeti yana ushabiki pia.
Hapo hamna haja ya kueleweshwa, wewe ziangalie hizi timu zinamiliki nini. Fananisha club ya Jangwani na jengo la club Msimbazi.
Halafu pia usisahau yanga ina Plot ya maana pale Mafia street (prime area).
Simba wana nini? Achana na mambo ya list.
 
Mbona unaleta story za vijiweni za flani ana hela lakini hamjawahi ona ata document yoyote ya umiliki?!
 
Back
Top Bottom