CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

weka asset ya simba yeyote.. hata ghorofa la kariakoo ha ha ha,,, uwanja wa enyimba huu apa mabilioni yametumika .. weka wa kwenu matajiri matajiri
Shekhe uwanja so utajiri aisee,mbona baadhi ya klabu kubwa huko duniani hazina viwanja he utasema navyo ni masikini?
 
Shekhe uwanja so utajiri aisee,mbona baadhi ya klabu kubwa huko duniani hazina viwanja he utasema navyo ni masikini?

ha ha ha utajiri unapimwa kwa asset.. ambazo ni mali na fedha ulizonazo bank au cash... haya weka asset za simba.. zinazoifanya iwe tajiri kuliko enyimba
 
Zinachezea wap kama hazina uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..kamuulize google aisee kama hujui ,ila kukusaidia tu uwanja wanotumia hivi vilabu ni uwanja wa serikali ya manispaa ya jiji la Milan unaitwa San sirro stadium na wanalipa ushuru tu kwa serikali

Ni kama. Simba na yanga hapa zinavyotumia taifa kujinafasi.

Je navyo in klabu masikini???
 
list ya vilabu tajiri hata huko ulaya.. huwezi kuta kuna vilabu visivyo na asset kama uwanja... haya weka top 10 ya vilabu tajiri ulaya.. tuone kama hizo intermillan na ac millan zipo...

wewe umeiweka simba top 5 africa.. tumekuambia weka asset za simba ambazo ni mali, pesa ilizonazo cash tuone kama zinashawishi kuwa tajiri kuliko timu nyingi africa.

acha longo longo weka asset za simba.. nakusaidia ghorofa la kariakoo ha haha.. ongeza zingine
 
ha ha ha utajiri unapimwa kwa asset.. ambazo ni mali na fedha ulizonazo bank au cash... haya weka asset za simba.. zinazoifanya iwe tajiri kuliko enyimba
Unajua mnachoshindwa kujua watu ni hiki,enyimba ule uwanja ni ubia na kampuni ya mafuta huko Nigeria ,ni kama Chelsea ambao hawana uwanja still Leo ,so usihesabu kama uwanja ni sehemu ya utajiri.

Maana unaweza ukawa nao na still ukawa maskini tu
 
Chelsea wenyewe tu hawana uwanja shekhe ,sijui kama unajua hilo,Bayern Munich wenyewe pia hawana uwanja pia sijui kama nalo unajua.

Duh..
 
Unajua mnachoshindwa kujua watu ni hiki,enyimba ule uwanja ni ubia na kampuni ya mafuta huko Nigeria ,ni kama Chelsea ambao hawana uwanja still Leo ,so usihesabu kama uwanja ni sehemu ya utajiri.

Maana unaweza ukawa nao na still ukawa maskini tu

acha longo longo.. weka mali za simba.. tupime asset.. maaana ndio kipimo cha utajiri..

jibu hili swali la asset na cash in bank za simba.. usilikimbie..

tajiri anapima kwa mali + pesa..

mimi nimekusaidia ghorofa msimbazi.. ongeza zingine tuuone utajiri wa simba
 
Shekhe asset za simba zinajulikana cash data hiyo juu hapo
 
Uwanja si kigezo cha utajiri wa timu,

Maana hata arsenal ,emirates sio uwanja wao 100% ni wa shirika la emirates kwa mkataba hadi 2022

weka asset na pesa simba ilizonazo bank acha maneno mengi
 
Cash USD milioni 10
 
Shekhe asset za simba zinajulikana cash data hiyo juu hapo

mbona unalikimbia hili swali.. zinajulikana na nani??

wewe mleta hoja tupe majibu.. tuambie simba inamiliki hiki na hiki vina value ya kiasi fulani na simba ina pesa bank kiasi fulani..

usikimbie swali
 
Non sense kwa sasa,kikubwa usajili mzuri na kulipa vizuri,utajiri was simba now ni karibu USD 10 na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…